Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.
Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.