KIA wanajitahidi sana siku hizi, ndege zimeongezeka sana na uwanja umekuwa wa kimataifa zaidi. Huduma za Kia ni nzuri kuliko za JNIA, ndio ukweli. Na mipango iliyopo ya kupanua uwanja ni mizuri na kama wanavyosema baada ya upanuzi uwezo wake wa kupokea ndege utakuwa sawa au kuzidi Nairobi. Kia ni uwanya bora kwa abiria chini ya M1 kwa mwaka na wamepata zawadi hii mara 2 mfululizo.
Ila nasema panueni majengo wekeni vitu vya kisasa mambo yatakuwa supa sana