Recent content by TRAPATTONI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa ifm tufahamiane basi.!

    me too
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Mh, jamani mi pia ilikuwa hivo, tumbo kuuma baada kufanya mapenzi ilishanitokea mara 4 katika vipindi tofauti kama kila baada ya miezi sita hv. nilishafanya vipimo vya x-ray,damu, ultra sound, mkojo n.k hosp zaidi ya nne ikiwemo M'NYAMALA, KINONDONI, REGENCY Mpaka nilipofanya CT SCAN MUHIMBILI...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ubakaji JKT(mafunzoni)

    Nashukuru siku hizi tuna uhuru wa kutoa ya moyoni na watu wakafumbuka macho coz hawa kipindi cha nyuma hatukuweza kuya report; haya yanafahamika ila uhuru wa kuya report ndo shida..... Muda c mrefu mrefu utasikia mtu katekwa/yupo ana ng'olewa meno bila ganzi. Inshort yanafahamika sana...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Mimi Mbunge wangu ni Mh. John Mnyika, kwa kweli najisikia faraja sana kuwakilishwa naye.... Coz ana nia ya dhati kabisa na Taifa hili pia historia yake ni nzuri hata kabla hajawa MP. Kila la kheri Brother,,,,,, TUPO PAMOJA DAIMA. ___________________________________________ CHARITY BEGINS AT...
  5. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    :A S-fire1:Kwa hiyo kura zimepigwa na nani sasa? Kama wananchi hawakupiga....:A S-fire1:
  6. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    Hizo kura bila kulindwa kwa watu kujitolea nadhani matokeo yangekuwa tofauti.... So kama mchango wa kulinda kura hata mi ningechangia hata buku, jamaa wezi sana wa kura....... na 10% yao ALL THE BEST WENYE UZALENDO WA KWELI.. GG CDM
  7. T

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Thats why i like jamii Forum, hakika inatii kiu yangu, Watu wanelezea mambo kwa kina hadi naridhika... Mi nadhani umefika wakati Wahusika wakuu yaani Vigogo wanaojihusisha na wanaoilinda biashara hii ya madawa ya kulevya . IPITISHWE SHERIA YA DHARULA KUWA WATAKAOTHIBITIKA KUHUSIKA NA BIASHARA...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

    Nilishafanya jitihada sana za kujiunga na hiko chombo bila mafanikio, tokea 2010 mwezi wa 7 hadi mwanzoni mwa 2012, Napenda sana kuwa M'jeshi hasa kuvaa zile gwanda (JWTZ) ila kwa sasa nimeshachelewa. bIG UP sana kwa Wanajeshi wote hasa wenye mapenzi mema na nchi yetu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    Mi nadhani wanaweza kayamalia mezani... si kuna vyombo vya usuluhishi? Nadhani huu ndio mda muafaka wa African Union(AU) kufanya kazi yake, kuingia vitani siyo jambo la kheri. Waitwe wakalishwe mezani nadhani kutakuwa na mengi nje ya pazia. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA.
Back
Top Bottom