Recent content by TRANSPONDER

  1. TRANSPONDER

    JamiiForums Tanzania Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    God bless you brother
  2. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

    Brilliant
  3. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka na usikubali kushauriwa na watu hawa katika Ndoa/Mahusiano yako.

    Mimi nimeongea basics tu ....baada ya kujua kwanini wamama wanaishi muda mrefu kuliko wababa, sisi tunaambizana hamna kushirikisha watu ila wao ni kutoa ya moyoni kwa watu wao. Awe mzazi , rafiki au saluni... sisi tunayabeba hatimaye tunaishia kwenye ulevi, pressure na maradhi ya...
  4. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka na usikubali kushauriwa na watu hawa katika Ndoa/Mahusiano yako.

    Sio rahisi kama unavyodhani, ukikaa nayo moyoni unaweza kufa kwa mawazo
  5. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    Ukipata mwanamke mzuri, ana bikra na kipato basi utakuwa na uwezo wa kuumba binadamu wako mwenyewe
  6. TRANSPONDER

    JamiiForums Tanzania Non alcoholic wine

    Kwamba nyama iliyokaangwa na maji ni mchemsho
  7. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunakuja kuangalia kama kona chochote.... hii haiishi hadi INSIDER aumalize mwendo... maana ni story ya maisha yake na bado anaishi
  8. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahahaha jifunze kwa waliofanikiwa
  9. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Katika hili nimegundua kila mmoja ana style yake ya kutoboa, tuishi vyema na watu, tuwe na bidii katika shughuli zetu, tusiache ibada. MCHEPUKO ni muhimu kwa mwanaume kamili ..... viva masela, viva wala kimasihara wa Jf
  10. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Umetisha sana mnyama
  11. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    STORY IMEISHA.... novice writers ni wazuri kuanza ila hawajui kumaliza
  12. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Hao mahari laki 7 kaka ila nyumbani ni story za mizengwe tu.... ikitokea umeanguka bahati mbaya si wanao wamepotea
  13. TRANSPONDER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Mkoo hapo wewe una elimu gani.... ukirudi nyumbani story zinaendana?
Back
Top Bottom