Hakuna mwanaume ambaye anataka afanye maisha na malaya
Nyinyi malaya ni wa kupiga hit and run
Umewaza kama mimi,hilini dume JF kuna wanawake saba tuPole sana mkuu
Kama ni kweli wanatuchosha sanaUmewaza kama mimi,hilini dume JF kuna wanawake saba tu
Ni main chick![]()
Girl I know you wanna be my main chick, my main chick
Kosa namba moja hili.Kwani hamtebeleani?sio mume jmn ni husiano la mwezi mmoja tu,, nampikiaje mtu sikai nae..
nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 (alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu).
Umewaza kama mimi,hilini dume JF kuna wanawake saba tu
Sasa utakuwaje na mahusianonserious wakati wewe mwenyewe unapenda kudanga?
Thread 'Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae' Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae
Kosa namba moja hili.Kwani hamtebeleani?
Ndio nimetulia sasa si umeona nimesema nataka nitulie na huyu au ndugu husomi vizuri
Kama ni kweli wanatuchosha sana
Wewe mwenyewe umesema kuwa ni side chickMbona wewe kila ukikoment kwenye uzi wangu unazungumzia malaya vipi kaka unanifahamu au unaleta makasiriko kwenye uzi wangu aisee kuwa mstaarabu kama huna cha kukoment usikoment vitu vya kuwakejeli wenzio
Nazani hujawai kuona nimekoment kwenye uzi wako so please leo ni j2 usifikiri kuwa na fake id ndio inakupa uhalali wa kutukana watu
From now tafuta anaye kupenda na yeye mpendeNipe shauri
Umeandika unataka kutulia kwa sababu unadanganywa sana na wanaume na wanakufanya mchepuko na sio kwa sababu umechoka kudangaa...
Usibadilishe kauli...
From now tafuta anaye kupenda na yeye mpende
BrilliantKuwa msafi wa mwili hasa huko ikulu,
Jua kupika,kuwa mnyenyekevu kwa mumeo,acha mdomo,acha kuombaomba hela ovyo,acha uvivu,kitandani kuwa vizuri
Otherwise utaishia kuwa mchepuko tu
Unaweza kwa uzoefu wangu mabinti wa kileo wako kinyume sana na hayo.Ukifanya hivyo utakuwa lone among millions,jamaa ataona uko the best .Atahisi kuchonga beehive after testng honey.Kila wakati atakuwa anaimba HONEYYyy na wewe utampa vibunooo afu mtaitikia pamoja,,,polo,polo,poloooo.Italeta tafrani yaani frustration.Kwa kufanya hivyo ndio nitapindua penzi