Recent content by transom

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kero: Nyimbo za dini sehemu za kazi

    Hakuna mtu anaependa kilakitu, usicho penda wewe kunawatu wanakipenda we panda gari ukisikianyimbo ambayo huipendi we piga mluzi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hebu tizama kwa makini uniambie marehemu alikuwa speed ngapi!!!!

    Na tope lilikuwa laini kiasi gani?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Kagame na Magufuli umeanzia wapi?

    Mhmmm, mambo mengine jamani tuwe tuna suburi muda uongee wajameni.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mnigeria akamatwa na dawa za kulevya JNIA

    Hawa wauza madawa nao ni janga kubwa sana katika taifaletu nashauri wakidhibitika wa hukumiwe harakaharaka.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na mfumo Kristo

    Daaah nimesomaweeeee nimeshindwa kumaliza ngoja ntamalizia usiku wakati natafuta usingizi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dkt. Antony Gervase Mbassa afariki dunia

    R.I.P Mungu awape moyo mkuu familia ya marehem katika kipindi hiki kigumu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Nimeipenda hii sentence ya kuwakamata harakaharaka Mijambazi ina boa sana watu tuna amka saa 4:30 alfajiri kutafuta maisha alafu lijitu linakuvizia getini lina kupora na saazingine yana ua kabisa, wacha ya nyang'anye bunduki harakaharakatu, tena kwa mwendo kasi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Itakuwaje kwa wagonjwa ambao hawana ndugu wa kuwapa chakula, tafadhali jamani njaa pia niugonjwa. Zoezi hili liangaliwe kwa kina linaweza kuathiri baadhi ya wagonjwa.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Equatorial Guinea, amteua mwanae kuwa Makamu wa Rais

    Tramp, Tramp,Tramp!!.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    Leo hii hii nilikuwa natoka home naelekea job nikipitia daraja la kigamboni , baada ya kuvuka tu kwa mbele kidogo mida ya saa 06:9 hivi asubuhi, palikuwa na watu kadhaa wanatembea kwa miguu. Niliwapita na mbele kidogo tena nika muona mtoto mmoja hivi mwanafunzi na kavaa flana yake ya bluu, nika...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge walalamikia adhabu ya kijana aliyemtukana rais kuwa ni ndogo, Waziri wa Sheria azungumza

    Rais wetu lazma aheshimiwe, full stop.
Back
Top Bottom