Subiri upate taarifa kamili , wewe hata kama ungekuwa haufai ungejiondoa?Kajiona Uchwara kaamua kujiondoa.
Mkuu umeandika nini?Nilizoea makocha na wachezaji wanajiuzuru sasa imehamia kwa hawa wateule..
Kweli nimeamini job security sasaivi ipo private sector.
majibu ya kidiktetaHata kama ni Mimi ningeteuliwa ningekubali uteuzi, baada ya kuapa najiuzulu hapo hapo, nikiulizwa sababu najibu sina mda wa kupelekeshwa kama mtumwa.
Nawashangaa sana watu wanaokubali teuzi za serikali hii!
Manyanyaso na masimango kibao kama vile nchi hii ni mali yao na wana hati miliki!