Recent content by TRamadhani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    bebeni mabango basi hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ZZK ngoja bhna afanye kazi za kitaifa naona nyie wengne mnakazi ya kuhubiri majukwaani endeleeni vichaa wenzenu watawafata.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    mimi pia nipo na washkaj zangu huku Turkey wakristo na hawatamani kurudi bongo Tatzo naona hapo kweny comments watu wanashauriana hvyo kwa style hii Tanzania watu watakua wanalalamika ugonjwa mwingine kumbe wanaumwa ugonjwa mwingne #######IDEAS ZA UDINI ZIMETAWALA SANA YANI MPAKA KERO...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    yes tafta hizo pesa ukasome mkuu halazimishwi mtu zaten nadhan watu wa ENGINEERING na MEDICINES gharama za masomo zipo juu pia bongo TECHNOLOGY ipo poooooor so ndo nadhan ni bora kusoma DEVELOPED COUNTRY kama TURKEY:smile-big: ila kwa hizo mambo hata Kigoma kasome tu mkuu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    kuna vyuo wanatumia English, vingne wanatumia Turkish na vingine Mchanganyiko
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    Watanzania mnaongoza kwa kudanganyana kwenye mitandao ya kijamii ila kama una akili zako huwez kusema hivyo Wanatoa course zote inategemea na ufaulu wako katika vyuo bora vyenye ushindani kimataifa sio unaukua unaangalia upande mmoja tu najua wengi mnawaza kuhusu UDINI ndo maana Tanzania...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    ufadhili hawaznguı unapata degree ya kımataıfa karıbu sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    hata kma una mdogo wako au ndugu yako kamaliza form four ana GPA 3.6 au zaid pia kichwa kimetulıa Apply.Ataweza tu naamini.kuna watu tupo nao huku hawajuı Advanced Physics halaf wapo vzr tu;
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    kwel nimeangalia pia hamna ila leo ndo pia inaanza wataweka mda si mrefu neno APPLY litakua kwa juu pale baada ya FAQs.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    Nafasi za kusoma Uturuki chini ya udhamini wa serikali ya Uturuki(FULL SCHOLARSHIPS) kwa UNDERGRADUATE,MASTERS na PhD. Katika fani zote. Applications ni kuanzia tar 25.02.2015 hadi 31.03.2015. Pia applications zote zinafanyika ONLINE katika website: Ana Sayfa Utakuta website ipo kwa Kituruki...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa first year na wanachuo wote

    Kwa ufupi Tanzania fursa za ajira ni chache saana vjana msiwaze kuajiriwa mkiwa chuo jitahdin kufikiria maisha baada ya chuo sio mnaishi kama maroboti
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

    kitambulisho cha kukutambua chenye majina kamili na mambo mengne ya utambulisho au kama una passport ni vzr
  12. T

    JamiiForums Tanzania Transfer to Medical Related Programm

    nilijua ni free duuuh
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua: Vita ya wachawi

    duh!hapo sasa
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua: Vita ya wachawi

    Itaendelea kesho...............
  15. T

    JamiiForums Tanzania NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Zaman A ilikuwa 75-100 na ndvyo ilivyo mpka sasa acha kupotosha jamii mkuu.
Back
Top Bottom