Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
10525602_1075784615769289_3299512203451786706_n.jpg

Huyu Babu utamuambia nini ukimuona sasa hivi? ni hilo tu
 
Nitamwambia wewe ni mfano mzuri sana kwa wale ambao hawataki kuamini kwamba unaweza kuwa tajiri ata uzeeni.

Wengi wanaamini kama ujawa tajiri kwenye miaka 40 huwezi tena kuwa tajiri.

Babu anajua kutumia fursa sababu raia wengi wa Afrika Mashariki ni wagonjwa hivyo hapo akapata fursa.

Babu ni mpigaji aliye Smart sana .Alitoa ajira sana kwa wafanyabishara kutoka sehemu tofauti,miundo mbinu ikajengwa kijijini kwao.

Pia Babu ni mfano kwamba unaweza usiwe msomi lakin ukawaingiza mkenge watu wakila rika hadi wasomi.

Kama ningekuwa natoa tuzo za Ujasiriamali basi ingeenda kwa Babu.Kosa lake ni moja tu.Kuingiza Mungu kwenye upigaji
 
NAHITAJI MSAADA WENU MARAFIKI.

Mimi nimejiunga na huduma ya CRDB BANK ya Internet Banking sio Sim banking/Mobile banking nimejiunga na Internet Banking huduma yao ya Online.

Sasa leo nilikua natazama TBC1 kuna tangazo lao CRDB likawekwa wameanzisha huduma mpya ya kununua vitu na kukopa online kama magari, boda boda na bajaji hata viwanja na nyumba huduma hii ipo katika mfumo wa Mobile Vision ila inatumika kwa wateja walio jiunga na Internet Banking tu. wakatoa na tovuti ambayo inapatikana huduma hiyo, tovuti waliyoitoa ni hii hapa http://bit.ly/112iOmm nikaiandika pembeni na kuifungua nika login nakwenda katika ukurasa wao wa vitu wanavyo uza kiukweli nimevutiwa sana kwani magari wanauza kwa bei nzuri na hata mikopo yao ya magari ni mizuri.

Tatizo nimeshindwa kuelewa sehemu moja kuna sehemu wananambia submit form with identity copy hapo ndio sijaelewa ni copy ipi ya kitambulisho inatakiwa? Kwa alie wahi kutumia hii huduma anisaidie tafadhali.

kitambulisho cha kukutambua chenye majina kamili na mambo mengne ya utambulisho au kama una passport ni vzr
 
Nitamuuliza kama kweli kaishatambua ya kuwa ndoto aliyooteshwa ilikuwa name utukufu was mungu au shetani
Pia nitamuuliza aliwezaje kuwaingiza mkenge maaskofu wake wakati yeye ni mchungaji mstaafu wa kawaida
Nitamuuliza name kumwomba idadi ya viongozi wakuu waserikali walioenda kwake ili niohanishe name wale wanaoenda kutibiwa ulaya.
 
ntampongeza kwa kula hela za wajinga wote walioenda kule
maana mi nilibisha since day one kwamba yule ni tapeli
 
NAHITAJI MSAADA WENU MARAFIKI.

Mimi nimejiunga na huduma ya CRDB BANK ya Internet Banking sio Sim banking/Mobile banking nimejiunga na Internet Banking huduma yao ya Online.

Sasa leo nilikua natazama TBC1 kuna tangazo lao CRDB likawekwa wameanzisha huduma mpya ya kununua vitu na kukopa online kama magari, boda boda na bajaji hata viwanja na nyumba huduma hii ipo katika mfumo wa Mobile Vision ila inatumika kwa wateja walio jiunga na Internet Banking tu. wakatoa na tovuti ambayo inapatikana huduma hiyo, tovuti waliyoitoa ni hii hapa http://bit.ly/112iOmm nikaiandika pembeni na kuifungua nika login nakwenda katika ukurasa wao wa vitu wanavyo uza kiukweli nimevutiwa sana kwani magari wanauza kwa bei nzuri na hata mikopo yao ya magari ni mizuri.

Tatizo nimeshindwa kuelewa sehemu moja kuna sehemu wananambia submit form with identity copy hapo ndio sijaelewa ni copy ipi ya kitambulisho inatakiwa? Kwa alie wahi kutumia hii huduma anisaidie tafadhali.

ndo utamuuliza hivi babu?
 
Nitampa hongera kwa ubunifu mpaka kuwafanya maelfu ya watu wakiwemo mawaziri kuonekana ni wapumbavu
 
Nitampongeza kwa kutumia fursa vilivyo.... Ujinga wako ndio Umaskini wako..

Babu wa Loliondo alitumia Ujinga wa Watanzania kutengeneza Pesa.
 
Huyu Babu utamuambia nini ukimuona sasa hivi? ni hilo tu

Nitamwambia babu wa loliondo kuwa "miongoni mwa Watanzania wachache sana tena sana wenye IQ kubwa sana kupata kutokea katika nchi hii katika karne hii ya 21".
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom