Kiufupi Bongo ni Waizi kishenzi. Hasa Mzigo Ukifika Posta Unaweza Nunua Kitu Buku Huko china Tena Kwa free shipping Unaambiwa Ulipe 3000-5[emoji23][emoji23] Sema Siku Hizi Inategemea na msafirishaji Kuna Baadhi Huwa haipitiii Posta Ina Pitia Kwa Jaamaa wa Speedaf Sema unapochagua Pale Shipping...
Ingekuwa Poa Ungetoa Maelezo ya Kutosha Kuhusu Hicho unachoeleza Achana na Propaganda Hizo Kuna Nchi Zina Migogoro yao Tangu enzi na Ina sababu zake na Wala sivyo hivyo mnavyoaminishwa au Kuona.Naamini Kila Kitu Kina Prons na Cons zakeHebu tuwekeee Ukiitoa Hiyo sababu bubu ya Kutoka Nhi ya...
Ahsante swali la msingi sana..Chanzo cha Kuchagua Kahama ni Kwenye Pita Pita Pita zangu tu japo kwa Muda mfupi nikalinganisha na Sehemu chache Ambazo nimepita,ila jambo la kwanza kwa Upande wangu nilivutiwa nacho ilikuwa kwenye Hasa Garama za Maisha kwa ujumla kuanzia vyakula,Mahala pakuishi na...
Habarini wana JF, nitangulize shukrani za dhati kwenu wote.
Nahitaji kuanza maisha yangu mjini Kahama. Natambua kuna wazoefu na wenyeji wanaoijua vizuri. Nina mtaji mdogo tu wa milioni moja.
Je, kitu gani naweza fanya hapo kwa huo mtaji hata kama ni kidogo japo nipate cha kufanya kuliko...
Jamani nimrkutana na changamoto Natumia Windows 7 ultimate 64bit.haina Antivirus.Juzi hapa wameniingilia Kibaya walichonifanyia Wameingia Kwenye Software Zanguu zote ambazo hazikuwa kwenye Zip file wamezibadilisha Zote tu 0kb.Na hata nikipakua Software yoyote ile mtandaoni Ikimaliza kupakua nayo...
Mmmmh..!Shida sio BAKAPU Tatizo nini kiko hapo kwenye Hizo Data a Aliye iba anahitaji nini..Pia kumbuka hizo ni Taarifa Muhimu ambazo sio kila mtu wa Kuziona..Ni sawa unaenda vitani Adui yako akuchoome hifadhi ya Silaha au ajue kwenye Ghala yako kuna nini..Nakwambia Utapigwa vibaya Mnooo..
Kweli kabisa mkuu sema tulio wengi tumeshajijengea njia pekee ni kuajiriwa tu..Kibaya zaidi ni pale unapoenda mtaa unakutana na Bango Linasema Tuna Tengeneza na Kuwe Program kwenye Computer.Ukitafuta huyo anae fanya hivyo baadhu ni mautundu utundu ila wameamua kujiajiri kwa njia hiyo ila akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.