Natafuta kazi

Natafuta kazi

So sad! Graduate wa Computer science unatafuta kazi utafikiri umegraduate ulinzi wa majumbani! Unatuambia unauzoefu wa sales, na aliyesoma BCom nae asemeje? Shusha cv ya kueleweka, sema unajua kuprogram, network installation, system administration, sema unajua linux server, window server, oracle, mysql n.k hebu tengeneza hata online games utalipwa kwa google ads.
Ndyo maaana ,comment yangu ya awali nimesema "nilimtafutia MTU vyeti alikuwa navyo lakini hakuwa vizuri katka vitendo nilionekana kiazi ...
 
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
FUNGUA KAOFISI UTOE HUDUMA ZA COMPUTER (SOFTWARE), MUNGU NI MWEMA ATAKUSAIDIA
 
Ndyo maaana ,comment yangu ya awali nimesema "nilimtafutia MTU vyeti alikuwa navyo lakini hakuwa vizuri katka vitendo nilionekana kiazi ...
Kama uwezi kumtia mtu moyo basi pia usimvunje moyo, yanahusiana vipi uyu kutafuta kazi na uyo uliyemtafutia alafu akashndwa, binadamu hatufanani
 
kuna kazi ya shamba,kula bule kulala bule.mshahara elf tisin ila mshahara utaongezeka kutokana na maendeleo ya kaz. ni usafi ukitaka ni pm,
 
So sad! Graduate wa Computer science unatafuta kazi utafikiri umegraduate ulinzi wa majumbani! Unatuambia unauzoefu wa sales, na aliyesoma BCom nae asemeje? Shusha cv ya kueleweka, sema unajua kuprogram, network installation, system administration, sema unajua linux server, window server, oracle, mysql n.k hebu tengeneza hata online games utalipwa kwa google ads.

Hujamuelewa Binti kaomba kazi kiujumla kwanza kasema alichosomea kwa maana course yake ni CS sasa kama atampata mtu wa hayo mambo obvious ulivyozungumza atavifanya na pia kaomba kazi ya kuuza kama sales ambayo ni rahisi kuipata maana hizo za taaluma yake zimekua ngumu...
 
Maisarah dadangu, vipi umefikiria kuolewa huku ukitafuta kazi? If so.....nicheki.
 
So sad! Graduate wa Computer science unatafuta kazi utafikiri umegraduate ulinzi wa majumbani! Unatuambia unauzoefu wa sales, na aliyesoma BCom nae asemeje? Shusha cv ya kueleweka, sema unajua kuprogram, network installation, system administration, sema unajua linux server, window server, oracle, mysql n.k hebu tengeneza hata online games utalipwa kwa google ads.

kama namuona vile namna amekusonya mkuu, plus akisoma haka ka post kangu atasema 'hili likaka nalooh!!'
 
Hujamuelewa Binti kaomba kazi kiujumla kwanza kasema alichosomea kwa maana course yake ni CS sasa kama atampata mtu wa hayo mambo obvious ulivyozungumza atavifanya na pia kaomba kazi ya kuuza kama sales ambayo ni rahisi kuipata maana hizo za taaluma yake zimekua ngumu...
Ahsante kwa kunisaidia ndugu yangu
 
Hujamuelewa Binti kaomba kazi kiujumla kwanza kasema alichosomea kwa maana course yake ni CS sasa kama atampata mtu wa hayo mambo obvious ulivyozungumza atavifanya na pia kaomba kazi ya kuuza kama sales ambayo ni rahisi kuipata maana hizo za taaluma yake zimekua ngumu...
Tatizo baadhi ya wanafunzi wengi wa computer science na programs sawa na hizo, wawapo chuoni wanakomaa sana na theories kiasi kwamba wakimaliza chuo hata kuformat PC hawajui. Jukwaani hapa wapo waliograduate na wengine wanaenda kugraduate, ni vyema kuwashtua mapema kuwa graduate wa computer science kuzunguka na kibahasha kuomba kazi ni aibu. Zipo kazi nyingi ambazo unaweza ukaanza kufanya kutokana na kozi ulizosomea, huku mtaji ukiwa ni laptop yako na knowledge tu. Tatizo vijana wana laptop lakini knowledge hamna na mkononi kashika degree certificate ina first class. Hovyooo.
 
Mkuu Elimu yetu haituandai kufanya vitu tofauti na unachozungumza upo sahihi kabisa unachosema tusitumie hasira kuwaeleza wanaotafuta njia fulani maana hana taharifa na taharifa ndio mtaji ujue na mazingira yanamfanya mtu afanikiwe mapema anachokihitaji kutokana na wanaomzunguka sasa Tanzania wengi huwa tukimaliza chuo hatuna taharifa ya kufanya kitu chochote na wanaotuzunguka hawana msaada hata wa mawazo wakikutegemea wewe uliesoma wakati huo hata nauli tuu ya kutafuta njia huko mjini inasumbua nayajua maisha yetu vizuri sana ndio maana naumia na kuwaonea huruma sana hawa wanaopita njia tulizopita ni ngumu ingawaje tulifanikiwa...
 
Tatizo baadhi ya wanafunzi wengi wa computer science na programs sawa na hizo, wawapo chuoni wanakomaa sana na theories kiasi kwamba wakimaliza chuo hata kuformat PC hawajui. Jukwaani hapa wapo waliograduate na wengine wanaenda kugraduate, ni vyema kuwashtua mapema kuwa graduate wa computer science kuzunguka na kibahasha kuomba kazi ni aibu. Zipo kazi nyingi ambazo unaweza ukaanza kufanya kutokana na kozi ulizosomea, huku mtaji ukiwa ni laptop yako na knowledge tu. Tatizo vijana wana laptop lakini knowledge hamna na mkononi kashika degree certificate ina first class. Hovyooo.
Kweli kabisa mkuu sema tulio wengi tumeshajijengea njia pekee ni kuajiriwa tu..Kibaya zaidi ni pale unapoenda mtaa unakutana na Bango Linasema Tuna Tengeneza na Kuwe Program kwenye Computer.Ukitafuta huyo anae fanya hivyo baadhu ni mautundu utundu ila wameamua kujiajiri kwa njia hiyo ila akina sisi ambao tumeenda na shule hata hatuwazagi hayo. Tuna taka kwenda Ofisini..Mi nafikiri ni Vyema Kufanya namna wa kujiajiri huku unaendelea kutafuta kwenda kufanyia wengine kazi na kuwaingizia Pesa.Shida ni Pale wengi wetu mi kuwa vyeti vimejaa A kibao ila sasa hizo kuzifanyia kazi ni kimbembe kuna mtu unakuta kamaliza IT na Madude yake yote..ila Kupiga Window hajui huyu mtu unategemea kweli Akafanye nini..Ndio ile tunaishigia mtu umesemea kitu A unaenda kufanyia Kitu B..ila Kazi tunayo Aseee
 
Nikiona vijana wenzangu wanahangaika hv kupata kaz, basi kila nikiwaza kutumia hela yyt vbya iwe ndogo au kubwa roho inanisuta nafanya turnup haraka.

Mungu awabariki ndugu zangu mnaotafta kazi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom