Recent content by tqr

  1. tqr

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Ni moja ya kozi ambayo ni nzuri lakini pia ina fursa nyingi mbali na kuwa mwalimu na usikatishwe tamaa na mtu kikubwa angalia nn kinafaa binafsi nakusihi uende ikiwezekana nenda udsm au makumila ipo arusha.
  2. tqr

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wa kuja iringa dc mm niende bunda
  3. tqr

    JamiiForums Tanzania Je GPA za NACTE na TCU ni tofauti?

    kwa mfumo wa Tz kwetu ili uende chuo kikuu lazima upate angalau Gpa ya 3 but wengi huanzia tatu ________inaoneka wakufunzi wako waliamua kukubolongea mambo
  4. tqr

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Naomba mwenye uelewa anisaidie namalengo ya kufungua famasia naomba kujua vigezo ili nifungue natakiwa nikidhi vigezo gani msaada tafadhar
  5. tqr

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kiswahili kwenye computer na internet

    Duh mata ya kwanza sikuambuliaaaaaaaa
  6. tqr

    JamiiForums Tanzania Kati ya HGK na HKL upi ni mchepuo mzuri?

    Hkl ni nzur fact piga upande Wa lugha inalipa
  7. tqr

    JamiiForums Tanzania Msaada swali hili la hesabu.... wataalam karibuni

    To a jib
  8. tqr

    JamiiForums Tanzania Msaada swali hili la hesabu.... wataalam karibuni

    Toa jibu
  9. tqr

    JamiiForums Tanzania Msaada swali hili la hesabu.... wataalam karibuni

    Wanakuja
  10. tqr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye kujua anisaidie

    Naomba anaefaham app yoyote ile ya kutunzia SMS anisai niwe natunzia baadi ya SMS zangu
  11. tqr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    VP ww zehebu lako unahistoria kamili au lah nikitaka kutafuta ujue usichokijua sena usaidiwe ili tujue tunaemjibu anahitaji kipi.
  12. tqr

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada; anaweza kusoma pharmacy kwa ufaulu huu?

    Hawezi kupata ni vyema ukatafuta private
  13. tqr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Nimependa mawazo hayo
  14. tqr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laptop inagoma kuinstall printer hp lasert p1102

    Download setup ya hiyo printer haf uangalie driver za PC yako kama zpo sawa kama zina viulizo zi insintoo kwa kutumia program ya driver solution ambayo haitumii internet au utumie driver booster ambayo inatumia internet ukimaliza instoo setup yako hap itakaaa poa
Back
Top Bottom