Laptop inagoma kuinstall printer hp lasert p1102

Ingia google usearch drivers za hio machine zinazofaa PC yako....zingatia sana kudownload kwa vigezo vya window unayotumia na bits(32 au 64)....
 
Download setup ya hiyo printer haf uangalie driver za PC yako kama zpo sawa kama zina viulizo zi insintoo kwa kutumia program ya driver solution ambayo haitumii internet au utumie driver booster ambayo inatumia internet ukimaliza instoo setup yako hap itakaaa poa
 
Back
Top Bottom