Ndio maana ya kupenda.Ukiona hivyo Ujue wewe ndio unafurahia Mapenzi.Ukiwa huna uwezo huo ina maana hata mapigo yako ya Moyo yanakuwa hayako sawa.Kupenda ni raha sana....
Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo?
Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni?
Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
Dah,Wewemwenyewe bado hujajua.Watu wengi huwa wanajua na kuelewa maana ya kupenda wakiwa na 40+ years.Wachache labda wakiwa na 30 years.Bellow 30 years wengi wanakuwa na IDEA ya UPENDO.Ukimpenda mtu huwezi kuandika habari za upendo wenu online,huwezi screenshot message yenu mtandaoni,Huwezi omba...
Acha kujilisha upepo.Hajazama kwako Maezama kwenye IDEA ya Kuzama kwako.Most people are in love with the Idea of Being in Love.Usichanganye.Muache asome.Hata maana ya Upendo hajajua bado.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.