Jamani ushauri wenu unahitajika, Graduation inataka kunitoa roho

Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.

Nitumie namba yake nitam dhamini kwenye graduation. Nawe ntakualika. Akipokea cheti nawachukua wote na wewe nawapeleka hotel.
 
Yani sio kwamba hakajasoma ila ameona mtaani ajira kachu kameenda kujibust 🤣🤣🤣🤣 Sasa bahati mbaya sana kakuta bro, pesa tetele na kamenizoea maana kamekula sana michuzi yangu kipindi nipo njama.
Duuh polee sana, 😂😂😂
 
Mwambie ashapata skills inatosha akatengeneze magari ajipatie fwedhwa hlf ataenda kujipongeza yeye mwenyewe
 
Naami kwa ushauri toka kwa wadau, hadi hapo umeshapevuka.

Vitu vya kupita viache vipite.
 
Jamani ushauri wenu unahitajika, Graduation inataka kunitoa roho​

Dah,
Wadada na shughuli ni kama samaki na maji.

Kama ka cheti tu anakomaa hivyo, vipi ingekuwa degree??

Huyo usijadiliane naye utapoteza muda bure. Mwambie tu kuwa sherehe mtafanya mwakani mifuko ikiruhusu afu kausha
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Lawama zote ni kwenu walezi mnastahili kuchapwa fimbo Kwa kushindwa kumlea huyo dogo

Mmeshamuharibu kijana wenu ndo maana mnaishia kuomba ushauri humu
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Achana naye
Mchane mwambie maisha siyo marahisi kiasi hicho

Fanya kama nilivyo kwambia wewe uende ukachukue cheti tu.

Hali yangu kiuchumi siyo nzuri kwa sasa pole sana kwa ili na hamna namna zaidi ya kufanya nilivyo kwambia.

Matatizo mengi huwa tunasuluhisha kwa ujasiri tu wakuongea basi .
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Kalast Born kanakusmbua.Kaambie kamsumbue baba ake
 
Fundi umeme anataka graduation ya aina gani? Amepata kazi?
 
Kuna mother yeye anapenda sherehe kuliko kula kila mwisho wa mwezi na mwanzo wa mwezi kwake kuna sherehe mziki mkubwa na wageni waalikwa kwa hio people's are very different from what they have been doing for years
baada ya elimu ngazi ya juu kueleza ngazi za chini wasitumie majoho kwenye mahafali, kwasasa kidato channe watu wanapiga suti kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom