Recent content by TOURMALINE

  1. T

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Mkuu achana naye huyo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Bora ilikuwa hivyo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi nifanyeje ili niweze kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi?

    Kaka tayari umeshafeli. Kiongozi bora hupimwa kwa maono na mtazamo wa kimaendeleo. Hapo bado hujaainisha utalifanyia nini Taifa kwa hiyo ngazi. Jipambanue kidogo tuone uwezo wako wa kuwaletea maendeleo wananchi. Hapo umejipambanua kiuongozi tu
  4. T

    JamiiForums Tanzania John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    Yetu macho
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Tabora

    Haya bwana, mwaka huu ni balaa tupu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Endapo Lowassa anautaka urais, basi leo 29 Agosti afanye hivi!!

    Upo sahihi mkuu, hajakosea kitu,
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Nguvu vs Hoja ya akili

    Duuuh hii katuni nimeipenda
  8. T

    JamiiForums Tanzania "NDOA" YA UKAWA Yavunjika rasmi Kahama

    Mhhh, kwa hyo nini kimeamuliwa hapo.Ina mana Lembeli hatosimama peke yake ndani ya ukawa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuchagua kazi

    Nilitamani kuwa mwanasiasa mkubwa ila naona ndoto zangu zinafifia kila uchao.Sijui nani wa kunimotivate katika hili
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

    Huyo c atakuja kuacha shule kabisa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, huwezi kutoa mimba yangu halafu utegemee nikuoe

    Kama je ni mwanafunzi, na una malengo ya kumuoa badae.Chukulia ni mwanafunzi form six
  12. T

    JamiiForums Tanzania Boko haram wanatafuta nini?

    Wakuu heshima zenu, Kuna hili kundi la kigaidi, nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa wanataka nini hapo Nigeria, mana kila siku wanaua mamia kwa mamia, mwenye kuwa na ufahamu zaidi na hili kundi atujuze Nawasilisha
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wakati kina Mbatia wanalalamika Dar, CHADEMA wapo Tabora

    Daima, sibishani, ila nilikuwa nakukumbusha tu kama mwana Ukawa, kumbe umeniona mwehu.Hongera kwa hilo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wakati kina Mbatia wanalalamika Dar, CHADEMA wapo Tabora

    Acha ubaguzi, mbona jana CUF tulikuwa hapa kahama, hausemi, nyie mna matatizo sana
Back
Top Bottom