TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Makubaliano ya vyama
vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) , juu ya Wagombea wao kuachiana Kata na Majimbo ya Ubunge , yamevunjika rasmi katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga na kusababisha mgombea wake.
Katibu Mwenyezi wa NCCR-Mageuzi Wilayani humo , Leonard Jilitu alisema suala la kuachiana majimbo na Kata halipo kwa sababu hawajawahi kukaa na kukubaliana.
Mwenyekiti wa CUF, Wilayani humo, Bw.Stephen Masanja , alisema Umoja huo haupo Mjini Kahama kwenye suala la kusimamisha mgombea mmoja kwa sababu CHADEMA waligoma makubaliano ya kuachiana Kata na Majimbo ya Ubunge.
Source: Majira.