Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Wakati kina Mbatia wanalalamika Dar, Huko Tabora toka jana zimekuwa zikisikika shamra shamra za kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa.Gari la matangazo toka jana limekuwa likipita mitaani kutoa tahadhari kuhusu CCM pamoja na kukvana pamoja na kutafakari juu ya hatma ya nchi hapa Octoba.
Nitazidi kuwajuza kila napopata taarifa c.c alfred Daud Pigangoma.
Nitazidi kuwajuza kila napopata taarifa c.c alfred Daud Pigangoma.