Recent content by toughlendon_1

  1. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wamefanya suala la Research kuwa kitega uchumi, Supervisor anataka kutumia El Nino kunipressure nimlipe TZS 250,000 ili nimalize chuo

    Kama unamsg zake screenshot ziweke live huko na majina yake uyaweke alafu lipia matangazo Kwa wale majamaa wanoko kuliko wote huko Instagram na TikTok na kote alafu watag wizara husika ili wajitekebishe chuo gani kila mtu analalamika me nilivyokuwa sio mvumilivu na najua kufuata Sheria...
  2. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wamefanya suala la Research kuwa kitega uchumi, Supervisor anataka kutumia El Nino kunipressure nimlipe TZS 250,000 ili nimalize chuo

    Hakuna chuo duniani cha kisenge kama open, me msema ukweli hao walimu wenu ni takataka sijawahi ona kila mtu analalamika hivyo hivyo aisee sasa si wakifunge tu tujue moja..
  3. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    Kasema ukweli na ndio ukweli majeshi ya police ni vibaraka wa CCM na kila mtu anajua na anaeolewa Hilo, nlishawahi kusema , majeshi ya police huwa yapo Kwa maslahi ya watawala na sio wananchii na Hilo ni siku zote, we angalia ikitokea brutality yeyote ile alafu wakaja askari wa aina yeyote ile...
  4. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Kero kwa Waombaji wa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

    Kama yupo mpanda je ? Me napitaga hapo kila siku ila nikikiangalia chuo naanzaga kucheka, najisemeaga kimoyo moyo kuwa hakuna chuo chakimkundu kama hicho alafu nacheka kwanguvu napita zangu hivi...Yan ukiona watu wanavyopita ndani na kutoka nje utasema hapo kuna walimu wa kweli wanaosikilizana...
  5. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

    Exactly, alitaka pipe za wote kazipata, a whore will always be a whore no matter what...
  6. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Khalifa Siwa Afariki New York, Ubalozi Watafuta Ndugu Zake

    Ujue we jamaa miyeyusho sana daaah 😂😂😂😂😂
  7. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Ndio mana kila siku tunasema sisitizeni watoto kusoma shuleee, aisee....
  8. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Yanagombea jezi ipi nzuri ipi mbaya wakati huku tushapigwa pipe...sijui lini tutakuja kuacha kudeal na petty ishues...
  9. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

    Ndio mana kila siku tunasema vijana wa some shule...Yan Hawa jamaa wanapenda kudeal na petty issues, mambo makubwa Wala huwezi kuwasikia, imagine time imefungwa lakin bado wapo na jezi tu...hii nchi matahira ni wengi
  10. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Matahira kama Hawa ndio kina Lukas Mwashambwa huwa wanawatetea, Imagine Nchimbi sio mwanaccm alafu huyu mwenye kibinda kikubwa na mwanaccm anaeaminiwa na kina Tlatlaa...ni huzuni Kwa kweli...hakuna combination mbaya duniani kama uwe hauna akili alafu una confidence
  11. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Ukitaka kujua CCM ni chama cha wajinga, siku zote wapo busy na petty ishues, mfano kutaka account za heche zifanyiwe auditing, lakin report ya CAG isiongelewe, kisa Ina deficit zilizosababishwa na wanaCCM mabilion na mabillion, wako busy na mambo yakipuuzi, ila hakuna hata mtu mmoja aliyejaribu...
  12. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Majangili wameteka Watanzania mkuu
  13. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Kufukarisha Wakulima Kwa Maslahi ya Wengine Ikomeshwe.Tunakosa Soko Kumbe Vibali vya Ku Export Vimezuiwa Kwa Visingizio vya El Nino.

    Ni kweli anazingua, anyways We jamaa nlishawah kukwambia siku moja kwamba kuna kitu hakiko sawa tukiwachekea Hawa wanasiasa tunakufa masikini Hawa jamaa ni washenzi tu lazima kuna kitu kibadilike...ujue me sio mtu wa vyama ila Mimi ni mtu wa principles Yan kama tunafanya kazi Fulani na hiyo kazi...
  14. toughlendon_1

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Kufukarisha Wakulima Kwa Maslahi ya Wengine Ikomeshwe.Tunakosa Soko Kumbe Vibali vya Ku Export Vimezuiwa Kwa Visingizio vya El Nino.

    We mzee hizi ofisini za serikali Zina prototype ya namna kila ofisi inatakiwa iendeshwe sawa lakini tatizo kubwa Hawa mawaziri wengi hapa Tanzania hawafuati hizo guidelines wote wako focused kujionyesha wanafanya vitu kumridhisha na kumfuraisha Raisi Samia, so muda mwingine wanatumia kusifu na...
Back
Top Bottom