Recent content by Totokanko

  1. T

    JamiiForums Tanzania KOVA: Tumejipanga kwa ULINZI MKALI UNAOONEKANA na USIOONEKANA

    Tafadhali kova usirudie kuwataja tena hao jamaa.polisi hamna uwezo wa kuwazibiti.nyie mtaishia kukamata wauza gongo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rav 4 nina 5mil

    Nina 5mil natafuta rav 4 haraka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Norman Sigalla: Mkuu wa Wilaya jiji la Mbeya

    Mbona unaonekana kama una ugomvi nae.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Waingereza waliomwagiwa tindikali Zanzibar

    Tatizo wazenj hadi leo hawajui adui yao ni nani
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa katiba mpya; Mtikila yuko wapi?

    Wewe subiri utashangaa kaibukia mahakamani kudai Tanganyika
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji JB apanga kugombea ubunge mwaka 2015...

    Nasubili tu bado wema nae atataka kugombea.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Nipokeeni mwanenu

    Aksanten ndugu zangu najihis mwenyeji sasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

    Namfaham nyamboga tulikua nae mtaa wa jacaranda baadae akahamia pale forest mpya mbeya wakati huo yupo TRA mbeya.jamaa alikua mpole na mpenda haki sana.habari hii imenisikitisha sana.RIP BROTHER
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi huhitaji kupigiwa kengele,jua umri umeenda!!!

    Kama umeniona mimi vile
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Nipokeeni mwanenu

    Habari wanajf mi mgeni humu naomba mnipokee
Back
Top Bottom