Dr. Norman Sigalla: Mkuu wa Wilaya jiji la Mbeya

Dr. Norman Sigalla: Mkuu wa Wilaya jiji la Mbeya

augustino ameri

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
267
Reaction score
57
Huyt bw. Kwanza sina ugomvi naye,ila ningependa kutoa wasifu wake.kwa wanaomfahamu watakubaliana nami.
MKIMUONA UTADHAN NI KIJANA WA MIAKA ISHIRIN NA KITU AU 30..kumbe 50 na kitu.Atajitambulisha kwa kwa mbwembwe,atataja na kiwango cha elimu alichonacho dr.Robo tatu ya hotuba zake hutumia kujielezea sifa zake na ndugu na jamaa aliowasaidia katija maisha yake.kueleza vyeo alivyoshika na alivyonavyo.Atawanadi ndugu zake kama wapo.
Robo ya hotuba ataongea vitu vya ajabu kama kejeli,maudhi nk.ataongea kidogo mambo ya msingi ,alafu atamalizia kwa kuanza kunadi vitabu alivyotunga na bei ya kila kitabu.
Anapoongea utajiuliza maswali haya
1.hiv huyu ni kweli dr.?
2.hiv anastahil ukuu wa wilaya?
Asanten na kwaherin.
 
........Nadhani una ugomvi naye.......mbona mambo hayo hana......zaidi nimjuavyo anapenda sana nyimbo za Injili........wakatimwingine tuwe wakweli kwenye nafsi zetu.......
 
Huyt bw. Kwanza sina ugomvi naye,ila ningependa kutoa wasifu wake.kwa wanaomfahamu watakubaliana nami.
MKIMUONA UTADHAN NI KIJANA WA MIAKA ISHIRIN NA KITU AU 30..kumbe 50 na kitu.Atajitambulisha kwa kwa mbwembwe,atataja na kiwango cha elimu alichonacho dr.Robo tatu ya hotuba zake hutumia kujielezea sifa zake na ndugu na jamaa aliowasaidia katija maisha yake.kueleza vyeo alivyoshika na alivyonavyo.Atawanadi ndugu zake kama wapo.
Robo ya hotuba ataongea vitu vya ajabu kama kejeli,maudhi nk.ataongea kidogo mambo ya msingi ,alafu atamalizia kwa kuanza kunadi vitabu alivyotunga na bei ya kila kitabu.
Anapoongea utajiuliza maswali haya
1.hiv huyu ni kweli dr.?
2.hiv anastahil ukuu wa wilaya?
Asanten na kwaherin.
haihitaji shahada kutambua hoja zisizo na mshiko toka kwa wafuasi wa CHADEMA
 
sio wauza pouda hawa jemeni?this.kantiri loh
 
Vipi mmechukuliana mke au.?
 
kuna sehemu mtoa mada kajitambulisha yeye ni chadema????
Hivi kila mtu anaetoa dukuduku lake kuhusu watendaji wa serikali ni chadema???
akili zingine ni za kufuata mkumbo bila hata kuwaza uhalisia.
yeye kakasirishwa na mambo anayofanya huyu dr..
hizo buku 7 zitawatokea puani kama ilivomtokea YUDA ISIKARIOTI

haihitaji shahada kutambua hoja zisizo na mshiko toka kwa wafuasi wa CHADEMA
 
hebu tupige hoja za mashiko... hii thread haina kabisa hoja ya maana
 
wale wale tu
images
 
utakuwa una shida naye wewe, huyu ni mojawapo wa wanaccm ninaowakubali, this man is real smart, na hizo sifa unazosema sijaziona na by the way he can brag for what he has achieved you can as well??!!
 
........Nadhani una
ugomvi naye.......mbona mambo hayo hana......zaidi nimjuavyo anapenda
sana nyimbo za Injili........wakatimwingine tuwe wakweli kwenye nafsi
zetu.......

We humjui vizuri acha kutetea ujinga! kwa bahati nzuri huyu bwana namfaham kwa karibu sana toka akiwa Hai, ni malaya wa kutupwa ametembea na walim wengi sana ana pepo la ngono! anajifanya mtu wa mungu sana anadanganya mabinti wa watu sana na anawadanganya hana familia.
 
....watu wengi wana wasiwasi na udaktari wake. Haijulikani vyema PhD yake aliipatia wapi. Ila huko nyuma sana alisoma shule ya sekondari ya Lugalo - Iringa na alikuwa anatumia jina la Adamson na sio Norman! Alikuwa pia anacheza mpira wa miguu!
 
Asante mkuu kwa kumleta kiongozi ambaye badala ya kuchambua masuala ya maendeleo , anatambulisha ndugu zake na kufanya matangazo ya vitabu vyake , hivi aliyemteua anayajua haya ?
 
We humjui vizuri acha kutetea ujinga! kwa bahati nzuri huyu bwana namfaham kwa karibu sana toka akiwa Hai, ni malaya wa kutupwa ametembea na walim wengi sana ana pepo la ngono! anajifanya mtu wa mungu sana anadanganya mabinti wa watu sana na anawadanganya hana familia.

Duuh Kiwindo una bifu na DC nini? Labda huyu mtu tunamfahamu kwa namna tofauti sana. Unasema anajinasibu kuwa hana familia? Ina maana mkewe Mama Pindi Hazara Chana alikuwa hafiki huko Hai?
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana kuna watu wanasema vyeo vya uDC vifutwe! Jamaa namfahamu,anapenda sifa balaaa! Nadhani alishawahi kuwa mbunge EAC wakamtimua baada ya 1yr.Hana kitu huyo, mbwembwe nyingi?
 
Asante mkuu kwa kumleta kiongozi ambaye badala ya kuchambua masuala ya maendeleo , anatambulisha ndugu zake na kufanya matangazo ya vitabu vyake , hivi aliyemteua anayajua haya ?

Aliyemteua naye si dr
 
Dr Norman namfahamu tokea akiwa mkuu wa wilaya ya Hai...yote uliyonena juu yake sikupata kuyashuhudia..ni mtu makini na anajua ni nini cha kusema na ni wakati gani aseme...
 
Back
Top Bottom