Recent content by Torquemada

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Dodoma Necta haipo?
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanamke mtu mzima sana 50+

    Mcheki FaizaFoxy
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Udom
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Kama nipo Dodoma naenda Necta Dar au Huku wizara ya elimu?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Ahsante mkuu!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Thanks and Amen!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Ila tuna mfumo mbovu sana kwenye hili suala la upotevu wa vyeti. Kama taarifa zangu yaani matokeo yangu yapo mtandaoni na index namba nilitumia kuombea chuo na mkopo, washindwe kweli kuthibitisha ndio mimi?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Ahsante mkuu! Vilikuwa kwenye bag la PC, niliviacha kwenye bajaji Simfahamu dereva anapaki wapi lakini alinichukua akiwa anaenda mwenge. Chuoni hawana namna ya kunisaidia kusajiliwa kweli?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kupoteza vyeti

    Wakuu habarini Nimepoteza cheti cha form four na cha kuzaliwa Nimeshindwa kufanya registration wakuu Naomba mnipe mawazo, nina stress mpaka nahisi kufa. Dirisha la usajili ndio hilo linafungwa [emoji24][emoji24]
  10. T

    JamiiForums Tanzania 2020 Wafanyakazi sector Binafsi tusali

    Ni kweli
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nichague kozi ipi kati ya hizi?

    Kivipi mkuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Mchagga ni yupi hapo? Nimejaribu kucheki surname sioni
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ni LL.B sio LLB
  14. T

    JamiiForums Tanzania Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    We Bwege kweli. Nani kakudanganya DPP ana nguvu kuliko Muhimili wa Mahakama?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Ha ha ha, uje nimecheka kama mazuri vile. Am coming babes[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom