Recent content by Toria

  1. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, una matatizo ya mahusiano na mke mume au mchumba

    hapo utakuta consultant mwenyew huna mke,huna mchumba na huna mchepuko afu unataka uwasaidie watu fyuuu
  2. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umesharudia matapishi mara ngapi?

    hizo termilogy zilizotumika humo ndan sasa!! ni hasira tupu
  3. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I cant stand the rejection

    cancer hii inayosababishwa na rejeksheni inatibika kweli?
  4. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

    kama hutaki hata wakusogelee huko kuwasaidia inawezekana vipi sasa
  5. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada above 30

    Kwani lengo la ndoa si ukazae na menopoz inaanza 45!!! sasa mbona hao 30s bado wapo eligible kabisa
  6. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaesema mapenzi ya JF sio real nani? Idhulumu nafsi yako tu

    Aaaaaww!! lara huyu huyuu tunaemjua ndo karegret then our dear love is nolonger blind kwakweli
  7. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sasa lakini bado ananipenda balaa...

    Ina maana ule msururu wa dates zako za nyuma zote wanakupigia simu wanalia utaku huna jinsi zaidi ya kuendelea nao???? stop kiddin young man
  8. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    ndio waliobaki na hatuna option ingine
  9. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wazuri wa kuolewa nao ndio hao hao mnaowaweka kwenye friendzone

    looooooh hizi ni fitna binafsi
  10. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananiita popo, Kasinde

    utaambiwa wivu ujue, muwache mwenzio atafune ujana
  11. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananiita popo, Kasinde

    Atleast this time no crush.................
  12. Toria

    JamiiForums Tanzania Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

    A man's confidence only pays when everything else just stays away in his life Kuna mtu ni chokambaya ila kwa confidence yake tu.....utampenda bureeeee
  13. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaesema mapenzi ya JF sio real nani? Idhulumu nafsi yako tu

    Vin Diesel ngoja niwe msemaji wako; wivu huna ila roho inakutoka lol Hapa naona kama ile movie ya kim kardash, kanye na ray j mwenyewe akitapatapa
  14. Toria

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Aisee ni huruma ndoa ikirest in peace kama hivi shetani anajipongeza tu mission accomplished
  15. Toria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuelimishane kwa hili

    asietaka kuzaa shombeshombe nani???
Back
Top Bottom