Recent content by toolop

  1. toolop

    JamiiForums Tanzania Mlioko Bagamoyo haya ndo Mavitu tunayoyafanya muda huu.

    @Kiduku Lilo leo nmefanikiwa kumuona huyu kiongozi aisee ni mtu poa sana
  2. toolop

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio fursa 150 ambazo unaweza kuingiza kipato

    Market kwa ss bongo imeshuka,biashara wanaonufaika ni wale wenye capital kubwa ambao commodities zao zina demand kubwa kwa consumers. Tunafanya vipi kuongeza market ni serikali na private sector kuongeza ajira kwa maana vipi waajiriwa wengi ndo consumers. Kama kila mtu analia njaa utamuuzia...
  3. toolop

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio fursa 150 ambazo unaweza kuingiza kipato

    TZ kwa theory tuko vizuri nenda kwenye ground field performance ni 0℅. Kuandika hayo ni simple sana na cha ajabu utakua unashangaa watu kushindwa kuchangamkia fursa ani ungejua mzunguko wa pesa ni mdogo sana,yaani market iko low sana wachache ndo wananufaika bro.
  4. toolop

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Iko hivi toolop katika pitapita zangu kwenye kucoment kwenye page za mastaa wa bongo nkacoment ovyo kuhusu huyo staa x, Basi bana kuna binti fulani akareply nanukuu "huyu nae sijui katoka wapi kojoa ukalale" mwisho wa kunukuu. Ss nkaona noma kumjibu public nkafany ku m dm huku nme screenshot...
  5. toolop

    JamiiForums Tanzania Kwanini maji ya mvua huwa yana utelezi?

    Kwasababu yana utelezi.
  6. toolop

    JamiiForums Tanzania Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

    Mkuu tunaomba picha ya mama mkwe ata ya bila kichwa isije kuwa kahawa.
  7. toolop

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Hatimaye nimeanza kung'aa kisawa sawa

    Alafu unasema wewe sio shoga[emoji16][emoji16][emoji16]
  8. toolop

    JamiiForums Tanzania Tapeli yamtokea puani, tumbo lajaa maji

    Huu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
  9. toolop

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna ugumu kiasi hicho wa kumkojoza mwanamke?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Noma sana
  10. toolop

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa faculty kwa Round ya nne ya application

    Nani kakuambia chuo kimoja unaweza fanya option ya ku reject..? An huyo automatically yuko confirmed kwenye chuo husika.
  11. toolop

    JamiiForums Tanzania Incomplete Hesbl

    Hiyo
Back
Top Bottom