Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Kwanini maji ya mnvua huwa yana utelezi, huo utelezi ni madini yaliyopo kwenye maji? hayo madini yanatoka kwenye sayari? umejaribu kuoga maji ya mvua kwa sabuni ya Unga? ulitumia lita ngapi au ndoo ngapi ili utelezi wa sabuni uishe.