Recent content by TONY MTAKAYOTE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

    Anayeteseka na kuteswa na asijali wala kuyahisi maumivu hayo, hakika huyo amekwishakuwa mtumwa kwelikweli.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ufaransa inafaidika nini na Niger mpaka itake kusaidia Ecowas kuvunja mapinduzi?

    Mbona ni hatari sasa, kwa hiyo viongozi hawayaoni kabisa mapungufu ya hii agreement?
  3. T

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Kwenye katiba mpya. ujasiri wa kufanya aliyoyafanya anaupata kwa sababu ana kinga ya kutokushtakiwa hata akiachia madaraka. Mapungufu ya katiba yanatumika kama kichaka cha kuwapiga/kuwaibia watanzania. Tuamkeni Watanzania. Tupambanie katika ili iondoe kinga kwa maraisi wote waliopita ili sheria...
  4. T

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Raisi aondolewe kinga ya kutokushtakiwa, mengine tutajua baadae.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Tatizo, raisi analindwa na katiba, hawezi kushtakiwa. Ingekuwa tuna uwezo wa kumshitaki raisi unadhani angeweza kufanya haya? Tatizo kubwa ni Katiba ya nchi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Haya yote ni kwa sababu ya kinga ya raisi ya kushtakiwa. Katiba nayo inachangia viongozi kuhujumu nchi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Acha ku-attack mtu, jibu hoja zake mkuu.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Mkuu, kama ungelizijibu hoja za tunaopinga mkataba huu usioeleweka, ingekuwa ni elimu nzuri sana kwa kwetu na kwa watanzania wote. Usitumie nguvu nyingi sana kufikiri wala akili kubwa, fikiria tu kawaida. Na kama upo na maslahi fulani kwa uuzaji huu wa bandari, kamwe huwezi kuwa na utetezi kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

  10. T

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuitwa Mtanganyika

Back
Top Bottom