Kuna mambo tunayadai kwa haki ila njia inayotumika hupelekea uvunjifu wa uhutaji.
Raisi ni mamlaka kamili ambayo imepewa mamlaka na wananchi ndiyo maana analindwa na kusimamia katiba. Hayupo juu ya katiba bali anaisimamia.
Uwepo wa Serikali unaanza nyuma sana mpaka tunapata mtu mmoja aongoze...
Nikushauri tu kaka.
Usimuache mkeo kwa sababu ya wakwe zako. Mzee hana maisha anahitaji hiyo pesa akatanue. So wewe ishi na mkeo na usiache chema kisa wazazi. Nimemaliza
Spika wa Bunge, Tulia Akson amesema ni taarifa za Uongo na kesho Bunge litatoa hatma ya mkataba huo. Swali linakuja kama Rais kaunga hoja huko na Bunge linaweza ikosoa hoja ya Rais?
Majibu yapo kesho Bungeni tarehe 10 June.
Ushawahi kuuona ubaguzi wa watu wa Zanzibar ukiwa kwao? Aiseee utatamani uuvunje muungano leo leo. Sema tujadiliane kuhusu Hasara za Muungano maana wewe kutokea Bara huwezi kuwa kiongozi Zanzibar.
Ondoeni Perceptions za kukandia Udom kwanza. Kisha tuje kwenye mada kuu. Hili suala la Ajali na tena Kipigo mara mpenzi mara waziri ni controversial sana.
1. Nani anajua ukweli juu ya kifo chake?
-Kama Ajali imetokea Dodoma na Kifo kipo Kilimanjaro hapo hatujui nani mhusikia.
2. Kama Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.