Hata wakiandika ukweli ulivyo, hautakubalika bado. Lakini ukweli madaraka ndivyo yanavyopatikana. Madaraka ni kama kupata dhahabu au almasi kule mgodini. Ukipata madini hayo halafu uzubaa kidogo watu wenye hila wapo pale watakupora tu pengine hata kupoteza maisha yako. Ndivyo ilivyo kuwa kwa...
Naapa kwa shada ya mwenyezi Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, kama nikilipwa hela zangu mimi niliyekuwa sekta binafsi na michango yangu nikapeleka Nssf, sitarudia tena kujiunga na mfuko huo, hata kama ni kwa mjibu wa sheria. Bora nijiajiri kwenye mashamba yangu ya kufuga mbuzi. Shiiit
Kanuni ya uandishi iko hivi; lazima picha iambatane na maelezo chini yake kuelezea ujumbe wa picha. Sasa unabanua picha gazetini na kutupia tu bila maelezo? vipi bwana wewe.
Nyie watani zangu ni waoga sana! Halafu mnaandamwa na majanga! Mara vifaru vya Amin, Slim, Tetemeko na sasa mmesikia radi mnadhani ni kimondo kimedondoka.. teh teh teh teh.
Kelele za wake kuolewa zinakuwa nyingi hadi mwanaume unakosa usingizi, pili unaweza kuhatarisha maisha yako, pindi wake wakiamua kwa dhana ya "bora tukose wote"! Tatu utalishwa mizizi mingi sana, na matakataka mengine kwa madai ya kutulizwa na kila mke. Kwa hiyo nasapoti, bora kuzaa nje kuliko...
KU overeact inaweza kusababishwa na uchovu wa akili, hasa unapokuwa busy kupita maelezo bila kupata muda wa kupumzika. Jaribu kutenga muda ukitoka kazini, ufanye mazoezi kidogo na unywe maji kwa wingi. Pia mtembelee mtu ambaye ni rafiki yako awe demu au mwanaume, kwa ajili ya kushare vitu vya...
Haahaaa haaa Demis bwana!!! hata mi nashangaa ukifuta kwenye simu, na zile za google web nazo atazifutaje?? mbona Dar mna kazi sana na huyo sultan wenu?? Jamani!
Mkuu tuseme ukweli, hakuna prof. mwenye usubutu wa kuzungumza kwa kukosoa pale. Wote wako biase kutokana na mazingira ya kongamano lililo andaliwa na wakalibishwaji. Mfano wewe ungekaribishwa pale ungeweza kusema jambo lolote la kukosoa. Mfano huyu prof. anayewasilisha maada ya lugha, anadai eti...
Kimsingi ni wasukuma. Huku sisi Kgm tunajua ni wasukuma tu, manake ndio wana tabia ya kufunga ngo'mbe na kuzunguka nao kila kukicha. Lakini mbona humu humu siku imetokea, jamaa mmoja alilipoti tukio hilo? Sema watu hawakupay attention sababu ya tukio lililokuwa linatrend la kutekwa kwa mwekezaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.