Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,856
hawa wachina washenzi kwelikweli tukiishawauzia hilo ziwa watataka na uwanja wetu wa chatto mungu hakua mjinga kuwapa vimo vifupi,vimacho vidogo na vibamia aliona mbali sana
TuwapenajeshilohKuna rais alisema jana china marafik wa kweli. Yeah nikatoa reference ya zambia.
Hakuna nchi inatoa pesa ya maendeleo.kwa.nchi za afrika bila kuwa na sababu maalum
Hizo utaziskia tu kuwa zililipwa zikaishia mifukoni mwa wenye serikali wanaishi uswizTuwauzie tu hili ziwa kwa bei ya dola elfu moja kwa square metre moja. Tanzania tuna eneo la ziwa victoria kilomita za mraba 33,700 ambazo nisawa na square metre 33,700,000,000. Kwa hiyo tutapata dola 33,700,000,000,000. Yaani dola trilioni 33.7. Ambazo ni sawa na shilingi trilioni 79,191. Kwa bajeti yetu ya trilioni 33 kwa mwaka, pesa hizo zitatutosha kwa miaka 2,399. Tuchangamkie tenda fasta! Baada ya miaka hiyo kuisha hakuna atakayeumia maana kiama kitakuwa kimeshawasili kitambo!!!!!
Miaka 231??!! Vizazi vitano kwa wasitani wa miaka 50, Wajukuu wetu watakuja kujiuliza maswali yasiokuwa na majibu, kwa Kuwa wote hatutakuwepo.Na hii nayo ni propaganda?View attachment 949147
Jamani mnapoandika taarifa muhimu kama hizi kumbukeni kuweka source, ilikusudi watu tujue how serious the issue is..Kuna rais alisema jana china marafik wa kweli. Yeah nikatoa reference ya zambia.
Hakuna nchi inatoa pesa ya maendeleo.kwa.nchi za afrika bila kuwa na sababu maalum
Mbona hiyo Ni Kama robo TU madeni na tena siyo yote mkuu au tuna daiwa na mchina TU?Tuwauzie tu hili ziwa kwa bei ya dola elfu moja kwa square metre moja. Tanzania tuna eneo la ziwa victoria kilomita za mraba 33,700 ambazo nisawa na square metre 33,700,000,000. Kwa hiyo tutapata dola 33,700,000,000,000. Yaani dola trilioni 33.7. Ambazo ni sawa na shilingi trilioni 79,191. Kwa bajeti yetu ya trilioni 33 kwa mwaka, pesa hizo zitatutosha kwa miaka 2,399. Tuchangamkie tenda fasta! Baada ya miaka hiyo kuisha hakuna atakayeumia maana kiama kitakuwa kimeshawasili kitambo!!!!!
kwa kukusaidia tu hapo tafsiri yake wameandika “Magufuli aiomba China kuongeza misaada zaidi kwa Tanzania”Teh teh teh tihiii
hapo wanashangaa, hiki kichwa mbona ni cha tofauti??
Afrika nzima tumezunguka, lkn hatujaona kama hicho.