Hilo ni tatizo dogo sana, linatokana na mindset uliyonayo na mazingira yanayokuzunguka. Ukiweza ingia Youtube tafuta mafundisho ya Pastor Tony Kapola, then utakuwa sawa!..
Sehemu unayoweza kupata huduma za kiroho kwa Dar Es Salaam, ni Millenium Tower kwa Pastor Tony (PT). Ibada ni kila siku za Alhamisi kuanzia saa 10:30 jioni, na siku za Jumapili kuanzia 8:00 mchana.
Mungu akubariki sana!..
Aisee! Pole sana ndugu. Hali uliyonayo ni roho zimekuingia, na bahati mbaya zimeshindwa kuwasiliana nawe, na hazitaki kukuruhusu kufanya maisha yako, mpaka hapo utakapokuwa, wewe na wao mnaongea lugha moja.
Ila unaweza kuwa huru. Kuna mchungaji anaitwa "Pastor Tony", mtafute Youtube...
Hivi ndivyo matokea yatakavyokuwa:
Young Africans 5 : 1 Mamelodi Sundown
Kipindi cha kwanza itakuwa 1 : 1
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Young Africans.
Tafuta mafundisho yoyote ya mtumishi wa Mungu unayemuamini then sikiliza, yanaweza kukusaidia kukutoa kwenye hiko kifungo na kujihukumu. Kama huna unayemjua, I recommend pastor Tony Kapola.
Jamaa angu! Hiki ulichoandika hapa, kama kina ukweli, basi Mungu atakuinua sana, na dunia itakujua; Ila kama ni uongo, basi anguko lako litakuwa ni la kudumu. Amen!..
Kaka kuna kisa kimenitokea leo jioni, na mpaka sasa sijui kina tafsiri gani katika ulimwengu wa roho. Ilikuwa hivi..
Leo jioni nikiwa narudi nyumbani (hapa nyumbani ninaishi mwenyewe kwasasa, hivyo mlango huwa nafunga na kufungua jioni ninaporudi). Nikiwa nakaribia kuufuata mlango niufungue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.