Hyu sio kamanda badala aeleze ni kwa kiasi gani wamepunguza uhalifu na ajali barabarani yeye anakimbilia tumekusanya hela kiasi hiki kwa mwaka kama wao sasa ni mamlamka ya mapato hyu hii kazi ya upolisi haiwezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.