Recent content by TONGINDI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Kulipa kodi ni wajibu wa kila mtanzania.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    We mbona una haraka sana, watu wali subiri kuitwa kwenye usahili miezi 8, (refer TRA) wewe wiki 2 tu umepanic, fanya shughuli zingine kaka,
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

    Pressure inapanda, pressure inashuka!!,,
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyopata mgawo wa ESCROW yaongoza

    Kusema shule yake inasomesha maskini ni vichekesho, ada million 5, mtoto gani wa maskini anaweza kulipa kiasi hicho cha fedha?????
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunda man: Lowassa ndiye anafaa kuwa Rais

    Labda rais wa bongo flavor!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Usaili Rombo, Babati Na Mbulu

    Nielekeze namna ya kutuma niwatumie bse majina ninayo hapa!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TRA Oral interview

    Vp mliulizwa maswali gani?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TRA Oral interview

    Kwan haukuambiwa majibu ni baada ya muda gani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwenye elimu ndogo kuliko wote Tanzania

    Elimu haina tija kwenye kuongoza,
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaifunika CUF

    Hamna kitu hapo kwenye uhalo wako
  11. T

    JamiiForums Tanzania CCM tuungane kupinga upuuzi wa UKAWA

    Yan mie mwana CCM, mgao sijapata haya sh mia afu unishawishi eti nipinge hoja za ukawa!! Ntakuwa nimepotoka kisaikolojia na kujiondoa ufahamu. Siungi mkono ujinga wako
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi walimu wa nursery na primary

    Walimu wa masomo gani?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa ya kupangiwa kazi na tume ya utumishi wa mahakama

    Tarehe 30/05 mwaka huu tulifanya interview chini ya tume ya utumishi wa mahakama nafasi ya hakimu mkazi kwny kumbi za national stadium. Mpaka leo bado kimya, mwenye updates atujuze because naona wamwmwaga zingine 300.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Njama chafu za kuidhoofisha CHADEMA: ‘Tatizo ni Mbowe, Dk. Slaa’

    kumbe bado unatambua uwepo wake, si mlisema ilishakufa, mbna nyie mazezeta ni wepesi wa kusahau karagabao
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jamaan mwenye taarifa kuhusu TRA

    tafuta kazi nyingne kaka, hakuna ki2 kule, system imebadilika, kazi kibao zinafanywa na computer hta waajiriwa wengne wanakaribia kutemwa kaka
Back
Top Bottom