Safi sana kumbe level seat inawezekana hata bila tishio la corona!!!!! natamani utaratibu huu uendelee hivihivi hata baada ya janga la corona kwisha. Mbona kenya iko hivo, sisi tunakwama wapi.?
Upinzani si vyama, vyama ni miavuli tu, upinzani upo kwenye mioyo ya watu. Kumbukeni ya Salawathi enzi za Tanu. Wakati huo kilikuwa chama kimoja tu. Jamaa alisimama kama mgombea huru, na akawashinda wana Tanu chini ya kampeni kubwa uliyofanywa na mzee wetu baba wa taifa.
Hakika tunasafari ndefu, uandikishaji kura finger print, uamiaji finger print, kitambulisho cha taifa finger print. Kwanini hivi vyote hazikuunganishwa. Ili kupata utambuzi mmoja kama kwa wenzetu?? Maana huwezi kupata pasi ya kusafiria kama si raia, huwezi kupiga kura kama si raia.
comte,
😄😄😄😄😄😄kabisaa wanafikiri wana wakomoa wadada wakazi, wakati wana waharibu watoto wao, wakisha olewa kupika, kufua nk. Hawajui mara paaa ndoa imevunjika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.