Recent content by Tomwe

  1. T

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Acha mawazo mgando, tz haiishi kisiwani ktk huu ulimwengu, tupo kwenye kijiji,suala la kuchanganyika na nchi nyingine utake usitake ni lazima, Libya hawakuwa na deni na walijiweza hadi kukuposha ulaya, na bado wazungu wamefanya yao. Dawa ni kukaa nao vzr tu. Unaweza kukataa ushoga kwa kutumia...
  2. T

    Nani kawadanganyeni kuwa Uganda Cranes ( Timu ya Taifa ya Uganda ) itatuachia mwakani mwezi Machi kuna Uwanja wa Taifa?

    Yule mwalimu hata sijui alikiwa anakusudia nn..cjaelewa hadi ss hiv. Ile gem sisi tulitakiwa kushinda, sasa yy kutupangia timu wakabaji watupu ndio vp?! Hiv kwa nn kulia asingecheza nyoni, kushoto gadiel kati mkude na faisal shavu kulia msuva,kushoto kichuya na kati bocco na chilunga?! Ile gem...
  3. T

    Uhusiano kati ya Rais Kagame na Magufuli hauna afya kwa nchi yetu

    We Jamaa mbn unazungumza kinyume?! Nchi gani?! Huyo c ndo tulimbutuza tukampa kubwa AU hadi UN na mwamba baba ridh akamwambia akae na mwenzake awajadili asijidai mjuvi..akaleta za kuleta yukachapa m23 akafyata au sio huyo? Mi nashangaa eti ss hiv ndio mshakaji wetu...Sijui VP hapa
  4. T

    Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Unaweza Ndg yangu ila kwa kwetu uswazi huitwa "nusu mkate". 1)Tofali 800@1,000= 800,00 2)cement 20@15,000= 300,00 3)nondo(linta) 4, mm12@20,000 =80,000 (utalaza 2 ) 4)kokoto (linta)ton4 =120,000 5)Bati 30@10,000= 300,000(tazara) 6)mbao 4" x2",20@4000=80,000 7)mbao 2" x2", 20@2000=40,000...
  5. T

    Dr. Kikwete atembelea SUA; asema heri mtembea bure kuliko mkaa bure

    Sasa Hivi una Maisha bora baada ya kudhibiti maliasili?! Eti eehh?!
  6. T

    Miezi 9 iliyopita tuliambiwa Dr Dau aliacha Mfupa NSSF, sasa hivi ina Trilioni 7!!

    Kama investment ya halali IPI unayoweza kuinject 264b halafu baada ya 6yrs Iwe imerudisha ktk nchi kama tz?!naomba nisaidie mfano dadaangu!tena yenye very low risk. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Hebu tafuta hiyo video uangalie basi
  8. T

    Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    NK siku zote anatengezeza silaha nzito na kujaribu,bajeti Ukubwa kwake ni ya ulinzi, mbaya zaidi, makombora mengi na silaha anazotengeneza anatengeneza mahususi kwa ajili ya marekani tuu! Maana siku zote unasema wazi anatengeneza makombora ya masafa marefu ambayo yana uwezo wa kupiga hadi...
  9. T

    RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

    Mm mwenyewe nasikia habari tofauti na za mtoa mada!!
  10. T

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Sipo kukubaliwa tuu,iloshafanyiwa Kazi na Vyanzo vya pesa zilishapatikana, cc tunaweka mawe ya msingi na kuzindua tuu
  11. T

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Naamin mtoa mada wala hakufika huko na hakutilia maanani hayo yote, yenye naangalia figure tuu japo na hapo Kwenye kiasi pia kakosea kunukuu,Maana gharama ya kitangulizi yeye kufanya ndio ya mradi mzina. Kifupi kabla ya kufikia Kuandika alitakiwa kujirisha kwa vitu vingi., badala ya kuishia...
  12. T

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Naamin mtoa mada wala hakufika huko na hakutilia maanani hayo yote, yenye naangalia figure tuu japo na hapo Kwenye kiasi pia kakosea kunukuu,Maana gharama ya kitangulizi yeye kufanya ndio ya mradi mzina. Kifupi kabla ya kufikia Kuandika alitakiwa kujirisha kwa vitu vingi., badala ya kuishia...
  13. T

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Binafsi sikubaliani na Haya maoni yako Haya kidogo, unaposema rais bora kuliko wote, mm naamini kila mtu akifanya yanayotakiwa kwa wakati na kuwa na mipango mzuri endelevu basi anaefuata anaweza kuoneka yupo vzr,mfano. Tunapozungumza Haya yoote yanayofanyika sasa Hivi tukumbuke mipango mkakati...
  14. T

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Kwani ile ya mchina ilikuwa USD 7,600m,kwa km ngapi?! Ilikuwa inaishia moro?! Ufafanuzi plz
Back
Top Bottom