Recent content by TOMNOTKAT

  1. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

    Zitto leo ni msemaji wa serikali ya CCM?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

    😂😂😂😂😂😂😂😂
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan, Sasa rasmi, Tundu Antiphas Lissu amekusafishia njia Kimataifa

    Hivi kwanini Kikwete aliweka hawa mashehe ndani?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Lissu anapambana na marehemu. Alafu kuna wanaosema marehemu ndo kichaa 😀😀😀.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

    Kaazi tunayo. Kesi ya mbuzi inapelekwa kwa mwenye bucha?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Waziri Mpya wa Fedha na Mipango?

    Type ya Saida Mkumba ili watuibie 🤨
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Huyu mama anaenda kutuibia watanganyika, kwa kutuwekea mtu bomu pale Hazina. Kwa mara ya kwanza tangu napata fahamu Watanganyika tumekuwa na waziri wa fedha asiyetuibia. Sasa ku toa hapo ni mipango ya wizi TU.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Kun watu wanaamini siku ya kufa ikifika, hata kama uko ukimbizini hauwezi kuikwepa. Ndo maana hata wazungu na utaalafu wao wote wakupandikizana mpaka viungo nao hufa. Kuna wengine wanaamini, kwa weredi na maarifa wanaweza kuahirisha siku yao ya kurudisha namba. Hawa wote wabeba imani hizi ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

    Si mngeanza basi na kutuonyesha uongozi wa demokrasia usio wa kibabe ndani ya chama chenu kwanza, ili tuone mtakavyotufanyia huku nje tukiwapa hayo mamlaka?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete, leo ndiyo leo; msituangushe

    Huyu Kikwete na kundi lake si ndo kidogo waiue CCM? Leo mnajisahaulisha?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kushughulika na kero za miaka nenda rudi na kutuaminisha kuwa tunaweza. Kujaribu kutuheshimisha wananchi wa kawaida mbele ya watumishi wa umma. Ile mentality ya ujanjaujanja aliyoikuza JK na kuwa siasa/nafasi za siasa ziikuwa za kununua kufutika kwa kiasi kikubwa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Ulifikiri hapa duniani ndo mwisho wa reli??
  13. T

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

    Hivi anatakiwa auze sura kila baada ya muda gani?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Covid-19, nimejifunza sisi Watanzania ni wakushikiliwa akili

    Waziri wa Afya na naibu wake waliita wanahabari wakawasihi watu wajikinge, wakaonyesha jinsi ya kunawa na kujifukiza, wakanywa dawa, watu wakamkejeli. Akawaonyesha yeye na mumewe wanavyojikinga, watu wakamkejeli mumewe kuwa kaolewa, wziri anapenda kiki. Waziri ni msaidizi wa raisi. Raisi hawezi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye kumuaga Balozi Kijazi, Kikwete ametuma ujumbe mzito kwa vitendo

    Kwahiyo Kikwete hatakufa ? Kufa tumeumbiwa binadamu. Tutakufa kwa kubanwa mafua au kwa ngebe, lakini tutakufa tu. Acheni uoga kama wanaume wa Dar/Msoga.
Back
Top Bottom