NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

Amepeperuka kama mkuu wa malaika.

Breaking lini sasa au tusubiri kwanza😷😷😷😷😷😷😷
 
Kwani wao wamemuona wapi raisi wetu mbona wanahangaika saana juuu yake?? Kama wao wanafahamu alipo raisi siwatoe tamko kuwasaidia hao wananchi??
 
Binaadamu ninyi huwa hamna jema, alipofanya press yule Dakitari Mipango mlihoji "kulikuwa na ulazima gani...si angepumzika tu kwanza akae sawa?"
Kwani huyu mmekubali anaumwa? Si mmesema ni mzima anachapa kazi? Sasa mchapakazi asiyeonekana ni jini au?
 
Nawashangaa sana wanaoshadadia habari za Rais JPM, hivi hawafahamu hiki ni kipindi cha kwaresma?
Ni wacha Mungu wa kweli?
Katika kipindi hiki kwa mtu mcha Mungu wa kweli aliyefunga kwaresma huku akifanya maombo, kamwe hutomuona wala kumsikia, anaongea na Mungu tu.
Nawaombeni mtulie tumalize mfungu ndio muendelee na porojo zenu hizo.
 
Sawa
 
Mimi nimemmis sana James Mbatia.. popote alipo ajitokeze, mbona simuoni kwenye ulingo wa siasa wala vyombo habari au huku kwenye social media!?
 
Back
Top Bottom