Recent content by Tom B Kilongola

  1. Tom B Kilongola

    Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    So you think telling me that I think low makes me think low?? This is completely inferiority complexity, nilichosema kwenye comment yangu ni kwamba sioni jipya kwenye ndoa kwa sababu kila wanachofanya wanandoa nishafanya kasoro moja tu, kuhalalishwa kama mwanandoa, sasa wewe mwenye ndoa halali...
  2. Tom B Kilongola

    Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    Am never lost unless you know where I'm going. Besides everybody has their decisions in life and my decision is based on my experience.
  3. Tom B Kilongola

    Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

    As far as I am concerned, naona ndoa ni aina fulani ya mazoea ya maisha. Eti kwamba ukifika umri fulani basi ili udhihirishe uanaume/uanawake wako lazima upate mwenza wa kuishi naye kwenye kifungo cha maisha kijulikanacho kama ndoa. For me ndoa na jela hakuna tofauti zaidi ya mazingira tu...
  4. Tom B Kilongola

    Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

    As far as I am concerned, naona ndoa ni aina fulani ya mazoea ya maisha. Eti kwamba ukifika umri fulani basi ili udhihirishe uanaume/uanawake wako lazima upate mwenza wa kuishi naye kwenye kifungo cha maisha kijulikanacho kama ndoa. For me ndoa na jela hakuna tofauti zaidi ya mazingira tu...
  5. Tom B Kilongola

    Ufaulu kidato cha sita watia shaka wadau wa elimu

    Tanzania yetu shida sana, wanafunzi wakifeli lawama zote kwa serikali, wakifaulu lawama kwa serikali. Mi sijui tupewe nini ili tuamini haya mambo yanawezekana... Smh
  6. Tom B Kilongola

    Unaweza kuamini Kweli! 50 cent kafulia aisee

    Hii ni movie yake wewe acha kutupiga kamba
  7. Tom B Kilongola

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Experience is the best teacher.
  8. Tom B Kilongola

    Vitisho Kagame: Rwanda ikituchokoza kijeshi tutaichakaza

    Hivi hii Rwanda kwanza ina hadhi ya kuitwa nchi yenye uwezo wa kuichapa Tanzania? Nchi yenyewe haina hata tofauti na mkoa wa Arusha kiukubwa...Kagame kama unaota ni bora uzinduke mapema kwa sababu yaliyomkuta Nduli yanaweza kuwa mfano wa yatakayokukuta! Japo siungi mkono mapigano, lakini kama...
  9. Tom B Kilongola

    Billionaire Donald Trump Vs Barack Obama's $ 7 Bil Programme!!

    Huyu Trump aende akaandike vitabu aachane na siasa maana alishapigwa bao na Obama kitambo...
  10. Tom B Kilongola

    Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

    Hahahahaha Huyo ndiye Nduli...
  11. Tom B Kilongola

    Du, Kiinglish cha Viongozi wetu: Inatia aibu!

    Guys why don't you appreciate a bit of whatever our president is doing for the country???...it's sad to see people nowadays do not focus on what is being said (content) but rather on who and how it's being said!!! Wonderful enough countries like Japan and China (big economies) do not even say...
  12. Tom B Kilongola

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    "Slavery of thoughts is the worst ever kind of slavery"
  13. Tom B Kilongola

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    I love everything about this thread despite some negative responses imposed by some "fake Tanzanians" who always rely on shallow sources of knowledge and information that make their minds stagnant and rigid to the reality. "Slavery of thoughts is the worst ever kind of slavery"
  14. Tom B Kilongola

    Lowasa akishinda urais 2015 kabila la ''masai'' litabadilishwa jina na kuwa kabila la "masia''

    Ulivyoandika ni kama tayari Lowassa ameshakua rais wa Tanzania kitu ambacho ni mapema sana kukizungumzia ukizingatia ni miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu 2015....be patience time is always a perfect judge!
Back
Top Bottom