Recent content by Tokyo48

  1. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Iran nayo imeanza maandalizi ya vita na Israel yaanza mafunzo na kuandikisha Askari wapya

    Tatizo la mzayuni anajua pa kugonga pale Iran. Taifa kubwa kama Iran kuanza kufanya maandalizi kwa kanchi kadogo kama Israel ni ishara ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa mzayuni katika macho ya Iran.
  2. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Tutarajie nini kwenye bei mafuta kwa nchi za Africa?
  3. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Israel launches new spy satellite with unique capabilities in the world

    I couldnt agree more. Perfect sense!!
  4. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Israel launches new spy satellite with unique capabilities in the world

    Sasa Ayatollah atajificha mpaka lini kwa mpango huu? Wazayuni watu wabaya sana.
  5. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Huwa inatokea mwanaume kum-admire mwanaume mwengine, na ni kawaida

    M May day! May day! One man down! I repeat,one man down!! Send evacuation immediately
  6. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Sala Thai Massage (Masaki & Oysterbay)- pale nenda kimyakimya,angalia mazingira,angalia service catalog yao (utaona na aina mafuta,herbs etc),angalia set up ya vyumba na vitanda. Hapa hawawezi kukupa details unless umezoeana nao sana. Ukiuliza maswali watajifanya ung'eng'e na kiswahili...
  7. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Hongera kwa kuchagua professional massage. Option ya kwanza Unaweza kutafuta Wathailand/Philipines/Taiwaness massuer. Work permit sio issue na wanapatikana. Ingia partnership badala ya yeye kukufanyia kazi. Wako vizuri sana na ni internationally recognized. Foreigners wengi na watanzania...
  8. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Amua unataka kuifanyaje biashara yako 1. Proffesional massage parlour (hapa wateja wanaokuja ni wale wanaojitambua wakilenga kupata treatment za variety mbalimbali 2. Massage za kawaida( wateja wengi ni wanaume na wanafuata uzuri wa wadada na mara nyingi huduma huenda beyond massage) Kwenye...
  9. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Mzee wa watu anaishi kwa wasiwasi na machale utadhani kibaka wa Kariakoo. Watamuua kwa pressure wazayuni
  10. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Moja ya chai bora kabisa za mwaka huu.😀😀😀😀
  11. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Mbaya zaidi vidada ndio vinaendesha ndege kupeleka kichapo
  12. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Mturuki hapeleki jeshi lake lipigane na Israel hata siku moja. Cyprus hawezi kukubali kuwa uwanja wa vita. They have too much to lose. Hii inabaki kuwa mikwara tu. Gharama za vita na Israel ni kubwa sana.
  13. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Mathayo tena na ubunifu wake safari hii ni kuhusu kuthibitisha Utatu

    Piga kobaz hili kwenye kichwa.
  14. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Mathayo tena na ubunifu wake safari hii ni kuhusu kuthibitisha Utatu

    Hapa ndipo ukomo wako wa kufikiri umegota. Sikulaumu. Unazidi kujipambanua kwa namna gani una IQ ndogo. Uzuri ni kwamba tunakujua,ukizidiwa hoja au kukosolewa hii ndio automatic response yako. Haya tukana tena kudhihirisha uwezo wako mdogo wa kufiri. Uwanja ni wako.
  15. Tokyo48

    JamiiForums Tanzania Mathayo tena na ubunifu wake safari hii ni kuhusu kuthibitisha Utatu

    Hamis apiga kobaz juaji😁😁😁. Kobaz lazima arudi na matusu au personal attack. Well done mwanazuoni halisi
Back
Top Bottom