Recent content by togolanimfumwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yawatelekeza wanafunzi vyuo vikuu

    Jk katika ubora wake.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rai kwa vijana wenzangu wa UVCCM baada ya kukosa UDC

    Unajua unazungumza kama punguani. Inawezekani kila kijana Wa uvccm kuwa DC? Ni lazima kuna watakaopata na wengine kukosa ni jambo la kawaida.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kilio mshahara wa mwezi June kwa watumishi wa Umma

    Marahaba
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Taasisi ya Moyo, Kikwete anastahili pongezi

    Ila jk kajenga magufuli asimamie watu wafanye kazi kwa bidii na kuleta vifaa bora zaidi
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, huu ni wakati wa ku-act Udikteta wanaokusingizia. Anza na Jenerali Ulimwengu

    Jeneralali ulimwengu anatawaliwa na hisia na chuki kwa jk.anafaa aendee kwao aondoka Tanzania.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Rais Magufuli atakuwa mwenyekiti wa CCM?

    Acha uongo hatutakaa kupata raisi aliyendesha miradi mingi yenye mafanikio kama kikwete. Wewe unachuki binafsi na jk.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hamjiulizi mbona zoezi la kubaini wenye vyeti feki halipewi msukumo kama la kusaka watumishi hewa?

    Yaani hapo kwa watumishi wenye vyeti feki hawatafanikiwa sababu zaidi ya 30% ya watumishi wanatumia vyeti ambavyo sio vya kwao.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe orodha ya majina ya wamiliki wakubwa wa ardhi nchini

    Ni taasisi gani ya kiislamu ambayo imeshindwa kuuendeleza ardhi yake ukiondoa bakwata ambayo imeeundwa kwa ajili kuukandamiza maendeleo ya dini ya kiislamu Tanzania.Angalia tasisi nzuri za kiislamu ambazo zinasaidia hata wakiristo mfano Islamic foundation na IPC zimefanya makubwa japo ni taasisi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwacheni raisi wetu afanye kazi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mchumi Zitto, mbona umesahau kuwambia hili wananchi kuhusu mabenki na makampuni ya simu?

    Kodi ya mishahara Katika kodi inayokatwa katika mishahara (P.A.Y.E), imepunguzwa kutoka asilimia 11 mpaka tisa kwa wafanyakazi wanaopata mshahara wa kuanzia Sh 170,000 lakini hauzidi 360,000. Kwa wanaopata zaidi ya 360,000 lakini haizidi 540,000, watakatwa Sh 17,100 pamoja na asilimia 20 ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Kodi ya mishahara Katika kodi inayokatwa katika mishahara (P.A.Y.E), imepunguzwa kutoka asilimia 11 mpaka tisa kwa wafanyakazi wanaopata mshahara wa kuanzia Sh 170,000 lakini hauzidi 360,000. Kwa wanaopata zaidi ya 360,000 lakini haizidi 540,000, watakatwa Sh 17,100 pamoja na asilimia 20 ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Bajeti hii ni chereko chereko

    Bajeti ya viwanda
  13. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hakuna ukandamizaji
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya trilioni 55, Tanzania trilioni 29. Tanzania inakosea wapi?

    Mipango na namna ya kutumia hizo rasilimali ni mibovu mno.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia asota Dodoma

    Type maoni yako kuhusu naibu spika.
Back
Top Bottom