Rai kwa vijana wenzangu wa UVCCM baada ya kukosa UDC

Hivi Lizaboni, GENTAMYCINE, Faiza fox, Rutashobolwa, Annael, and Co hamjakumbukwa? Daaaaaaah mi mwenzenu naksklizia nafasi za Makatibu Tawala wa wilaya japo kuna Mwanazuoni mmoja kaniambia hizo ni nafasi za watumishi sio za kisiasa.
 
Mlaumu mleta mada LB7 mwenzenu usilaumu Ukawa, kawaambia msikate tamaa kuna siku zali la mentali litawazukia. Ina maana kumbe kesha yenu JF lengo ni uDC.
Lengo la ukawa kukesha humu ni kupata mabebi au?
 
3263300162034fe9df8df9fd53896f83.jpg
 
Lengo la ukawa kukesha humu ni kupata mabebi au?
Pole sana nasikia baada ya list kutoka pumzi ilikata,

Enzi za kubebwa zimepita fanyenikazi vijana mjipatie vipato acheni kutegemea hisani kwa vyeo vya kuteuliwa.
 
Pole sana nasikia baada ya list kutoka pumzi ilikata,

Enzi za kubebwa zimepita fanyenikazi vijana mjipatie vipato acheni kutegemea hisani kwa vyeo vya kuteuliwa.
Hayo maneno kawaambie watoto wenzio, na tutaendelea kuwapa elimu mpaka muache kua nyumbu...siasa za unyumbu zinawasumbua sana, wacha tuwape facts tuu..
 
Hayo maneno kawaambie watoto wenzio, na tutaendelea kuwapa elimu mpaka muache kua nyumbu...siasa za unyumbu zinawasumbua sana, wacha tuwape facts tuu..
Facts ziko wapi, punguza presha JPM sio JK mliozoea mbeleko mmeanza kuisoma,
msalimie Mwampamba.
 
Ni jambo lililo wazi kuwa tumepigwa. Tumeisoma namba kweli kweli. Matarajio yetu katika uteuzi wa wakuu wa wilaya hayakuwa haya. Haiwezekani ndani ya jumuiya uchukue watu 2 tu kuwa wakuu wa wilaya. Lazima tukubali tumepigwa... Mpaka sisi vijana 46 tuliopiganiaa chama kwenye mitandao katika uchaguzi mkuu tumeisoma namba. Kwa kweli tumepigwa!

Pamoja na hayo yote, naomba nitoe Rai yangu kwa vijana wenzangu wa UVCCM, tusikate tamaa, tuendelee kukipigania chama. Bado kuna nafasi na fursa nyingi sana, naomba tusikate tamaa, tuzidi kukipigania chama na jumuiya. Najua mmekwazika, na hata jana nimeona kwenye groups nyingi za whatspp left zimekuwa nyingi. Tafadhali msikate tamaa..

Mwisho, pamoja na kutokata tamaa, ni vyema tukajua Rais wetu wa sasa anapenda wasomi hivyo twendeni shule tupige kitabu, hapo ndipo tutaona matunda ya hii miaka 10...
Unajua unazungumza kama punguani. Inawezekani kila kijana Wa uvccm kuwa DC? Ni lazima kuna watakaopata na wengine kukosa ni jambo la kawaida.
 
Mtapataje uDC elimu mbovuu? Hata uchangiaji wenu tuu humu mnaonekana vihiyo! Someni hyo mamba mliyopewa kwanza
 
Mtapataje uDC elimu mbovuu? Hata uchangiaji wenu tuu humu mnaonekana vihiyo! Someni hyo namba mliyopewa kwanza
 
Back
Top Bottom