iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Taifa la Kenya lina watu wachache kuliko Tanzania lakini bajeti yake kubwa mara mbili ya Tanzania.
Tanzania ina migodi mikubwa ya Dhahabu,Almasi,Tanzanite,Mbuga za wanyama za Serengeti,Ngorongoro ,Mikumi,Selous na nyingine mpaka majina nayasahau.
Tanzania ina bandari kama bandari ya Dar,Tanga,Mtwara. Ukanda mkubwa wa pwani,eneo kubwa la kilimo,mito mikubwa ya maji safi iko Tanzania,ziwa Tanganyika,Victoria,Nyasa,Eyasi n.k,tunakosea wapi?
Mbona wenzetu ka nchi kadogo kana bajeti kubwa hivi?