Recent content by togetherness

  1. T

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    hahaha,magamba mkubwa wewe,mchezo wako nimeunasa, you know what might be the consequences ya police kumkamata lema,now you want to connect that with chadema.
  2. T

    Naibu waziri wa Nishati ndani ya Mtwara

    Naibu wazir wa nishati yupo Mtwara now kama mgeni rasmi katika semina inayofanyika chuo kikuu cha SAUT yenye title "good governance and sustainable development of natural resources " update za nini kasema ntawajuza
  3. T

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    he is the dean of faculty tumaini university ya dar. unajua nn wakuu, huwa akiwa anafundisha anakumbuka yaliyomkuta na kusema,huwezi shindana na dola!!
  4. T

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    mkuu,nimemsikiliza jamaa nimeona hana makosa. you knw wht mkuu, jamaa anatafsiri qrn, so sio maneno yake nni jinsi dini yake inasema. hivyo anawakumbushe waislam kufanya dini yao inavyowataka. mkuu jamaa amequot hadi mistar ya kitabu chake kitakatifu.
  5. T

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    WATANZANIA WENZANGU, nasikitika sana kusikia bado mnasililiza clouds fm, aisiiii, hawa watu sio jamani. kunamtu anaitwa kibonde huyu kunasiku alikua anapitia magazeti akaanza kusoma habar ya mtwara akakatisha na kusema habari kama hizi mimi huwa sisomi. wakuu huyu mtu alishambulia watu kuhusu...
  6. T

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    nini sisi wananchi tunaojudge, kama wanafanya vurugu wacha tuone ili tutoe hukum, nafikili dr. kashilila hajielewi, wanataka wakandamize upinzani bungen ipasavyo then kesho yake watutangaze kama wanavyotaka. mfano bunge hili lisingekua linaonekana live. uhuru na mzalendo kesho yake kwenye front...
  7. T

    ibada yakuombea gesi isitoke mtwara

    leo waislam wamefanya ibada kubwa mjin mtwara kuomba dua gesi ibak mtwara.waumini wamejitokeaza kwa wingi.kesho kutakua na maandamano makubwa.ntakua live kuwajuza wanajamii
  8. T

    Thanks Channel Ten,thanks Jenerali on Monday, Kusini na Tanzania inatambua mchango wenu.

    wanajf, nipo eneo la tukio yani mtwara, the thing is, serilikal inacheza kwan huku mjadara ni mkubwa,wanatumia mbinu ya kuficha ukwel kwa vyombo vya habar kutotangaza yanayojir huku, yaliyomkuta naibu wazir njia ya kwenda msimbati its like nothing hapen.wao kupiga zogo katika vyombo vya habar na...
  9. T

    Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    siku anajiuzulu uwazir mkuu alilalamika na kusema,kamati hii haikunitendea haki, akimaanisha principle of natural justice were not followed.kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu alivyomfaya yule mwandisi wa kinondon,he adhered to principle of natural justice.without forgetting that he also...
  10. T

    Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    wewe kilaza kwel,yani unamaanisha kwa hilo la ajira lowasa ndio alikufungua akili,nilidhani kidogo tanzania tumejaribu kupambana na adui mmoja wa umasikini yaani ujinga kumbe badooo kabisa,eeh mola tusaidie sisi watanzania kwan hali inatisha
Back
Top Bottom