Juu ya kitanda chako mmhh...umewezaje kukilalia tena....mi nahisi ningekua naona mapicha picha hapo daily...
Unaweza msamehe but hiko kitanda sijui.mbadili[emoji2357]
Baba yake wema alikua na familia ingine( mama wa kambo wa wema) na ndio alikua mke mkubwa ...hiyo familia ingine ndio marehem Mkusa (anashare baba na wema) alikua mmoja wa watoto .....so mvunja nyumba ni mke wa mkusa ( wifi ya wema)
Mimi naweza kwa asilimia 100...
Kwangu kuacha kazi ni jambo la kawaida. Nikiona panazingua napiga chini na **** sehem very senstive/potential nishaachaga kazi
..yani na huwa sijutii sababu sikurupuki...
...ss kwa familia yangu ndio kbsa..as for now tumegawana na mr yeye apige kazi za kuajiriwa...
I think huo umri angepata kindergarten ya kutoka saa 6 mchana ili apate mlo nyumbani...ni mdgo sana kushinda shule na kusokomezwa unbalanced diet[emoji3526]
Hapo lzm dildo zitatumika lkn mwsho wa siku 10yrs ngumu lbd km hujawah kbsa kujaribu yale mambo wewe ni mtawa..ila ukianza na ukayazoea weee[emoji1787][emoji1787]
Wanawake tunawez sawa ila ni kwa muda mfupi ht miaka 2 inaweza pita sio milele[emoji1787][emoji1787] kibinadam utajikuta tu mtu kaja kusuuza rungu.....then unaaanza kuhesabu upya
Mimi kila siku huwa nawaza sana ikitokea nimetangulia huyu mume wangu atabaki na hali gani..namuonea huruma sana....ila upande wangu pia nawaza ...akiniacha sioni km nitakuja kuoleewa ni mwanaune pekee aliyenielewa na kunipenda vile mm nilitaman kupendwa...Mwenyezi Mungu ndio ajuaye yote tuombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.