Recent content by tobycow

  1. tobycow

    facebook,twitter,instagram,qee p

    nimetumiwa message nzuri nyingi watoto wa kike ambao siwajui na wengine wakidai niwatumiae account namba ya benki ili wanitumie fedha,nilidhan mola kanikunia nazi ila kila mtu ananiambia niwe mwangalifu kuwa nitalizwa mimi, mtandao upi wa kijamii ndo wa ukweli na profile inakuwa salama?
  2. tobycow

    kipofu

    duh,teh teh
  3. tobycow

    interview:ungekua wewe ungefanya nini

    ningewangalia panel uson namchukua mende na kumweka mdomoni
  4. tobycow

    Polisi wa bongo vs kidhungu

    aroooooo unatania sirikali
  5. tobycow

    viunganishi, vivumishi na vihisishi

    hvo tunaviitaga viunganshi shtukizi
  6. tobycow

    Misemo ya bongo

    unakutana na gari bovuu halafu nyuma lmeandkwa "baba ako analo?"
  7. tobycow

    Hata kama ni wewe utajisikiaje?

    kijana co rizki kabsa,inaelekea cku ya kichen paty ulitoroshwa
  8. tobycow

    kiss me

    mwalimu kaandika ubaoni"KISS ME" kisha akawaambia wanafunzi haya someni wote kwa pamoja,wanafunzi "KISIMIIIIIIIIII"
  9. tobycow

    Tanzania inakwenda wapiiiiiiiiii?

    habana macheso
  10. tobycow

    Dj Fetty wa Clouds FM ahamasisha punyeto

    kaka we ni kwikwi,yani sikupatii picha mkono mmoja umeshikilia sim sikion na mwingine unakoki paipu
  11. tobycow

    RE: Natafuta rafiki wa kike anayeishi kwa matumaini.

    kaka we jembe sababu wengi hawajui kinachowamaliza ni msongo wa mawazo na sio vidudu,we niambie unataka wa vigezo vip mi nikusaidie kutafuta
  12. tobycow

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    kaka japo statement yako haina logic ila ni ukweli mtupu,waache wasisikilize la mkuu
  13. tobycow

    Kaoa lakini bado anapiga punyeto

    mwachen jamaa kwan kavunja sheria ipi ya nchi,
Back
Top Bottom