mh..................................[/QU
penda kufanya mapenzi na mke wako , acha kabisa kuangalia movie za x,achakupiga punyeto,menda mapenzi ya kwelina achana na mapenzi ya hisia
mh..................................[/QU
penda kufanya mapenzi na mke wako , acha kabisa kuangalia movie za x,achakupiga punyeto,menda mapenzi ya kwelina achana na mapenzi ya hisia
We mtoa mada ndo unafuga ugonjwa,tia moto CD ZOTE ZA NGONO anazohifadhi kwako,then tishia kumsemea kwa mkewe,atanyooka tu.
Wanasaikolojia wanasema akili ya mtu mvivu ni ghala ya shetani na mipngo yake. Inaonekana huyo jamaa hayuko bize na kazi au za mikono wala za kufikirisha tu akili yake. Akiipa akili yake kitu cha kufanya hata michezo tu akalala amechoka hawezi kupata muda wa kupiga puli! Vijana wengi wanakaa bure bila kazi ya kufanya, kazi yao kubwa ni kukaa barabarani wakiangalia wanawake wanaopita na kisha kuvuta hisia za tamaa. Hela hawana, kutongoza hawawezi wanabaki kuangalia X kwenye simu zao na kisha kuishia bafuni kupiga puli. Dawa ya haya yote ni KAZI tu! Fanya kazi mwili uchoke hautapiga puli tena!!!!!
mh..................................
mh..................................
We mtoa mada ndo unafuga ugonjwa,tia moto CD ZOTE ZA NGONO anazohifadhi kwako,then tishia kumsemea kwa mkewe,atanyooka tu.
kaaz kweli kweli........utamu anao mwenyewe, kwa mke amefuata uzazi
hujambo bibie?ulipotelea wapi?naona umeguna tu!
Hivi kwa nini watu wa Mtwara mnaamini kwenye vurugu?
Ina maana hujafunguka bado, mtoa mada nd'o mhusika mwenyewe, iweje sasa achome cd zake mwenyewe..??
We mtoa mada ndo unafuga ugonjwa,tia moto CD ZOTE ZA NGONO anazohifadhi kwako,then tishia kumsemea kwa mkewe,atanyooka tu.