Nguo za mitumba zina mchanuo mpana kwa mtu anayezijua ziko za aina nyingi unaulia Nguo aina IPI?mfano 1-mashati ,2-bruose 3-suluari za kike / kiume huo ni mfano lakini ziko item zaidi ya mia moja ukitaka kuifanya biashara hii usiingie kichwakichwa
siku zote wanasema daima wajinga ndio waliwao, badala ya kufanya kazi kwa bidii ili upate pesa wengine wanafikilia kupata pesa kirahisi ,hakuna kitu kizuri kinachopatikana kirahisi ishu ni kukaza buti .na huyo msimwite muhudumu wa bar mwite kahaba na kama anajua kwamba wanaomgegeda kesho yake...
Itategemea kama nia yao itakua moja kila mmoja atachukua nafasi yake .yaani mke achukue nafasi ya uanamke wake bila kujali elimu yake na mume achukue nafasi yake bila kuogopa elimu ya mkewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.