Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma (pombe) sana tna mno mwanangu nkaja mchana kula c nkamtongoza..shem angu yan!kamwambia jamaa ake kamaind mbaya toka jana hansemesh,nkamwta nimuombe raz kakataa kuja kwa kgezo et 2mbo lamuuma wakat yuko t.o.d (zamu shuleni) na anakwenda kama kawa..kk ushaur wahtajka haraka coz hata misos twashea, 2kila 2nakuw kmya wote so nataka niache kula msoc niwe nakula vbandan2,ushaur wa haraka watakiwa kaka''.
Yeye ni mwajiriwa na ndoo kaenda kuanza maisha huko alikopangiwa ajira yake,
binafsi nimeshindwa kumpa ushauri nikaona nipitie hapa ambapo haliharibiki jambo,
tafadhali naomba msirushe mawe ,toa ushauri wa kujenga nn kifanyike ili maelewano mazuri yawepo,
ahsanten,