Recent content by Tobbo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    Mimi naona wana JF wengi wanaochangia humu siyo wadau wa Elimu! Nasema hivyo kwa sababu mabadiliko haya yalishatangazwa zaidi ya miaka miwili iliyopita sasa, na Wakuu wa shule zote walishapewa barua na vijitabu vya kuonesha mwongozo wa kutunuku kuanzia mtihani wa O-level 2014 na kuendelea kwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ameliweka rehani jimbo lake la uchaguzi la Hai-Kilimanjaro

    Mleta mada sijakuelewa, ebu weka takwimu kama hizi za Vijiji na Mitaa/Halimashauri kwa mwaka 2009 ambapo mwaka uliofuata 2010 Mbowe alishinda. Mwaka 2009 kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitata hali ilikuwaje? Ebu wasilisha data hizo ili ku-justfy hoja yako!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini ?

    Wewe dogo umewahi kuona lini, mtihani umefanyika mwezi wa 11 halafu unaanza kuuliza matokeo mwezi wa 12? Tulia, subiri vipimo vya Dokta Msonde. Kama ni Komputa, nenda ukasome salama!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nassari kortini kwa kuchoma bendera ya CCM

    Siku watanzania wote watakapopata akili ya kujitegemea (kujua mema na mabaya), Mungu atarudi wiki hiyohiyo! Inashangaza sana hata huyo Hakimu anayepoteza muda wake kushughulikia suala la kesi ya Bendera (Kaniki) ya CCM na kutoulizia wizi wa fedha ambazo zingeweza kusaidia hata ndugu yake kupata...
  5. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Wewe Lizaboni (Tezi Dume), unafuatilia matokeo ya chaguzi za marudio kweli? Unajua kilichotokea kwenye Ofisi zenu za Chukua Chako Mapema (CCM) mkoani Iringa? Tafakari, Chukua hatua!
  6. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA tunahitaji kusherehekea ushindi uwanja wa taifa - dsm

    Nadhani ni mapema sana kuita Mkutano Mkuu sasa hivi! Utakuwa na maana zaidi kama utafanyika baada ya marudio ya uchaguzi kukamilika (sehemu zilizoahirishiwa uchaguzi). Vinginevyo hakutakuwa na tofauti kati ya UKAWA na Nape aka MC (Msema Chochote).
  7. T

    JamiiForums Tanzania Diwani CCM kata Mzimuni, bw. Chambuso amshawishi mkurugenzi Kinondoni kurudia uchaguzi walioshindwa

    Diwani huyo ni wa kutwanga mangumi fastaa!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Hapa Tukuyu, Mtaa wa Chuo cha Ualimu Mgombea wa CCM ameshinda kwa kura 980 dhidi ya kur 78 za mgombea wa CHADEMA.
  9. T

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    :behindsofa:Imekula kwake! Mbunge sahihi katika jimbo hilo alitakiwa kuwa "Mr Mashili" wakamfanyia mizengwe kwenye kura za maoni. atalijua jiji.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

    Ukitaka kumtawala maskini hakikisha hapati elimu ya kutosha, hapati cha kula cha kutosha, hana hela kwa miezi 12 kwa mwaka. Ila awe na karedio ka-band 2. Ikiwezekana kawe na uwezo wa kushika RTD, Radio Free Africa na Uhuru FM. Siku ya uchaguzi mletee 5000/=, Fulana na Kofia zenye picha ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufikiria kuwa nina MAYOR kama huyu

    :peep:Kamekunywa viroba vingi saaaana wakati kanasoma Jitegemee Sekondari! Kaacheni kamalizie Umeya wake kwa Matumaini kiduchu!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    :llama:Akalale pasipo pema Jehanamu, Amen!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    :llama:Hiyo imekaa vizuri, ili liwe fundisho kwa Magamba yote!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kawe walia na upinzani

    Mtoa mada alitegemea Mbunge Mdee awe anagawa; Kofia, Kanga, Chumvi, Gongo na Mataputapu kama wanavyofanya Magamba wakati wa uchaguzi kwa imani kwamba wananchi ni mazezeta watagawana Sh. 5000/= familia nzima kwa miaka mitano! Watu sasa wanafahamu tofauti kati ya Unga na Bange, unapoteza muda...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali soma hapa!!!

    :llama:Dogo Mtihani wa Kidato cha Pili hautolewi wala kusimamiwa na NECTA, ni Mtihani wa Kanda za ukaguzi chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Tofautisha kati ya Gongo na Konyagi!
Back
Top Bottom