Habar wakuu, katika kazi yangu ya uuzaji wa bucha(nyama) nimekutana na haya mawe yenye rangi ya dhahabu nilipo pasua figo ya ng'ombe, binafs nimeshiewa kuelewa kuwa ni gold kweli au nikitugani. Naomba ufafanuzi tafadhari kwa wataalam wa haya mambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.