Recent content by TLE

  1. TLE

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    Tusijump into conclusion bado mapema sana sasa hv,usikute ni deal wamecheza na wahusika wametengeneza scandal ya money laundering kalipwa chake ili asiendelee kugombea Ubunge. Nikimfikiria Joshua Nasari huwa haya matukio siyaamini kivile.
  2. TLE

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

    Siasa za kibongo na matukio ya sasa huyu siya amini 100%,usikute mission completed and deal closed cc huku tunapigizana kelele tu.
  3. TLE

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

    Aisee hv hawa fisiem ni lini wataacha kutanguliza ufisie kwanza na kuwa wazalendo na nchi yao.Huyu jamaa angeweza kutoboa huko mbeleni na pengine na kuwa kama malaika mkuu,yy angekuwa kila cku anaenda Kenya
  4. TLE

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Ni sawa kumtaka kuleta hvyo vyeti lkn atavipata wapi?Nakumbuka nilipokuwa nimemaliza form six naenda chuo 2003 jinsi nilivyo sota kupata vyeti vyangu itakuwa hao babu na bibi?
  5. TLE

    JamiiForums Tanzania Unstable President leads to Unstable Country

    Uko vzr mkuu
  6. TLE

    JamiiForums Tanzania Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka

    Aisee we nae umekuja na mpya,Mwenyezi Mungu afe kwa dhambi ipi sasa na ili iweje?maana wewe mwenyewe umesema mshahara wa dhambi ni mauti.acha kuchanganya watu kwa kukariri vifungu vya biblia.Mwenyezi Mungu hana sifa ambazo binadamu anazo e.g kufa,kula,kusinzia au kulala,n.k.Tusome vitabu vya...
  7. TLE

    JamiiForums Tanzania Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka

    Alitolewa na nani Malyenge?
  8. TLE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke jikubali unavaa nywele za bandia ili iweje?

    Sema baadhi ya wanawake washenzi wa kiafrika wasiojitambua
  9. TLE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke jikubali unavaa nywele za bandia ili iweje?

    Wavaa mawigi na waweka malasta laana ya Mwenyezi Mungu iko juu yao,huu ndio ukweli
  10. TLE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    Aisee umekosea sana kuingia bila hodi hata kama ni nyumbani kwenu,piga hodi mara tatu ukiona haukaribishwi usiingie
  11. TLE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

    Kipendacho roho ula nyama mbichi
  12. TLE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli badala ya kujenga viwanda unakimbizana na wapinzani!

    Wimbo wa taifa hauna maana sasa hv watu wanaimba kama kasuku tu kwenye kile kipengele kinachosema dumisha Uhuru na umoja hekima,upendo na amani,sitaki kuamini watanzania sasa tumeweka uchama mbele zaidi kuliko uzalendo.Eeee Mwenyezi Mungu nijaalie hv hv kuendelea kuwa sina chama
  13. TLE

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa mkoa wa Dar (Bakwata) amshukia Mbunge

    Huyoo sijui sheikh Mimi niliisha delete permanently na BAKWATA yao
  14. TLE

    JamiiForums Tanzania Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Aisee huku kwetu debe la kg 20 = 3000 kazi kwako
  15. TLE

    JamiiForums Tanzania Special thread: Wapenda vinywaji visivyo na kilevi (non alcoholic) na changamoto wanazokutana nazo wakikaa na walevi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana agiza maji mengine nakuja kilipia
Back
Top Bottom